Tundu Lissu,
Freeman Mbowe,
Lazaro Nyalandu,
Na
Maxence Mello.

Tundu Lissu

Lissu ndio shujaa wa Taifa kwa Sasa,sio muoga,Jasiri na mkweli.Lissu Ni jabari, Ni habari ya Mjini,
Ndio mgombea pekee kivutio nchini,Afrika mashariki,Afrika na Duniani kote.

Habari zake zinafatiliwa hadharani na sirini.

Tundu Lissu ndio Mtanzania anayehujumiwa kuliko mtu yeyote,lakini ndio binadamu aliekwepa hujuma nyingi.ndio binadamu waTanzania Alie changiwa damu na watu wa nchi tatu,

Ndiye binadamu aliyeombewa maombi na Sala na Watanzania wengi ili apone,

Ndie Mtanzania Alie changiwa na fedha na watu wengi Tanzania na nje ya Tanzania,

Ndie Mtanzania Watanzania kwa Dini na imani zao waliomba maombi mbalimbali ili kulipa visasi kwa waliomdhuru,
Watu walitambika,walisali Sala za visasi,na watu walisoma Albadir ili Mungu alipe kisasi.

Tundu Lissu ndio mgombea w a Urais kupitia chama Cha Upinzani mwenye uwezo wa kipekee ambae haijawahi kutokea,Hana kashfa hata ya kifamilia tu,

Ndio mgombea kupitia Upinzani anayekubalika na Dini zote,jamii zote na makabila yote.

Freeman Mbowe

Mbowe anastahili heshima amepitia matseso mengi,lakini Hadi leo Lissu amesimama kugombea Uraisi. Ni pamoja na mchango wa Freeman, Freeman amejenga Taasisi imara Sana,haitakufa Leo Wala kesho.wakati wabunge nguli wa Chadema wakiondoka Freeman alikua amekaa kimya tu, kumbe anapanga mikakati.

Chadema ni Taasisi imara sana kwa Sasa hapa Duniani.

Lazaro Nyalandu
Huyu Ni binadamu mwenye huruma,upendo na utu kuliko binadamu wengi hapa Tanzania. Huyu jamaa anatoka Singida Mkoa mmoja na Lissu.

Mara tu Lissu alipomshambulia kwa Shambulio la kioga na la aibu kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu. Nyalandu aliamua kutoka kabisa CCM,kuachana kabisa na CCM,aliamua kuacha Raha zote,Ulinzi wote,ubunge Kinga zote na kuamua kuungana na ndugu yake wa kimkoa ndugu Tundu Lissu.

Kwa akili ya kawaida unaweza usione kitu, lakini ukizama ndani Sana Nyalandu amekataa kushirikiana na mashetani,Nyalandu ameona Ni Bora aishi hivyo anavyoishi sasabkuliko kumtumikia shetani,Nyalandu amemkataa shetani na mambo yake yote.

Inafahamika kwamba ukitoka CCM ujue mateso kwako ndio maisha,wameshindwa akina Lowassa, Sumaye n k
Mwigulu ndo hawezi kuthubutu hata kutishia kutoka.

Maxence Mello

Max ni shujaa aisee.

Jamii forum ndio chombo change pekee hapa Tanzania naweza pata habari mlipuko bila chenga wala mchujo.

Kwa Tanzania Vyombo vyote muhimu vimesalimu amri,hivyo Sina mahali pengine pa kupatia habari nizipendazo za Chadema na Lissu zaidi ya Jamii Forums.

Kama sio uimara wa Mello Leo sijui ningekua napatia wapi Breaking News na kufuatilia Kampeni za Mtanzania Halisi mwenzetu Tundu Antipas Mugwai Lissu.

Kwa Sasa hao ndio mashujaa wangu.
 
Kero za maji kumtua mama ndoo kichwani

Kero za Elimu watoto kukaa chini

Kero za barabara za mitaa imekua kete kubwa kwenye kampeni za udiwani na raia wanaelewa sana kuliko habari za ndege kama unabisha fuatilia utapata jibu.
 
KWAMBA, HUO UKULIMA, NA MANINK ULOONGEA NI UPANDE WA CHADEMA???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



SASA KAMA NIILO, EMBU FIKRIA, KAMA NYIE WACCM KUPATA WATU TU PAMOJA NA KILIMO NA JUA KALI

MNATUMIA KUSOMBA NA MAGARI MPAKA MATREKTA .,MNATUMIA WASANIIII.


HIYO 28/10 ...KUNA KITU??


WATZ WANAMJUA MTU WAO, NA MTU WAO NI LISSU.
 
Na asalitiwe kama Alivyosaliti katiba na CCM wakimsaliti mkiti wao watakuwa mashujaa wa taifa.
Unaambiwa Magu alali usiku kucha na ameanza kuwa na hofu kwamba watu watamsaliti ndani ya CCM

Hali Ni tete.
 
Mmeanza kuweweseka sasa...... Mwenyekiti wenu anazidi kuwehuka na nyie pia mnaunga juhudi

PIGA SPANA TUNDU LISSU 👍👍✌️✌️
 
Sishindani na yeyote hapa JF na wala sina haja ya kufuata ushauri wa Shetani , achana na maandishi yangu endelea kuamini unachoamini
 
Ni Yeye Mkuu
 
Mbona kama umechukia bab....
 
Magufuli macho yananvimba kwa kukosa usingizi. Anaangalia clip za nyomi za Lisu mwanzo mwisho mpk kunakucha.

Magufuli bye bye !!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka lifespan inapungua
 
Wananchi hawana muda was kwenda kumsikiliza mouth piece ya mabeberu.

Lisu kaletwa na mabeberu ili aende ikulu kuwapatia rasilimali za nchi hii.

Hatumtaki.
Kagera wametuma ujumbe.


HATAMTAKIIIIIIIIIIIII.

MIMI JIWE HATA WA BURE SIMTAKIIIIII.


NI YEYE TU.
 
Haya ni baadhi ya tathmini yangu
1.Hajaweka sera za Chadema zikaeleweka kwa wananchi hadi sasa
2.Anajinadi yeye zaidi sio chama au wabunge na madiwani....
3. Hata Wewe unaizungumzia CHADEMA humu kuliko liccm lako! (Nyaningabu haoni kundule!)
4. Kama anachukua materials zetu za uhakika, Viva Melo na wenzake waliosajili kijiwe hiki kwa damu na jasho zao!
Mengine utahibiwa tu, stay tuned!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…