M

Mkuu acha kyaamsha yaache tu, huoni Kamanda Lissu yeyekampeni zake ni mjini tu! Hawa wajawahi kujifunza kutokana na makosa! Kesho tunaanza kumdekia Lissu barabara ili abweteke!
Ccm ni mashahidi wa kuwa Chadema ipo kila kijiji na inapendwa, la sivyo wasingechakachua uchaguzi wa serikali za vijiji. Wanavijiji ni mashahidi wa uongo wa Magufuli kuwa wangepewa 50,000,000 kila kijiji lakini wapi. Watoto wao waliomaliza vyuo wanasota nyumbani bila ajira na ndio wana kampeni wa Lissu kila mtaa. Mwaka huu kama kawaida muibe tu lakini kila kona ccm imedhibitiwa. Hata huo wizi sijui mtapitia wapi!!!!
 
Niliota ndoto jana kuwa MAWAKALA wa Chadema wamewekewa mizengwe mikali na kuenguliwa wasisimamie zoezi la kusimamia upigaji kura. Comrade Mnyika mmejiandaaje na hilo????
Si kuna mapanga,au hujui hilo?

Wanachinjwa watu mzee...get that in your head!

Utakuja na hoja ya eti tuna "Polisi" na blah blah....

Polisi wote na wanajeshi wote combined hawazidi 50,000.....Sisi tupo milioni 60..

And guess what,askari 50,000 halafu vituo vya kupigia kura viko vingapi nationwide?Do your math,halafu uje hapa upya!

Kuna watu watachinjwa live mzee.....si masihara ujue!
 
Watu wanamuangalia Lissu kama mwanasiasa na mwanasheria, lakini nje ya hapo wanasahau hichi kichwa ni typical Genius. Huyu ndo Messi na Christiano Ronaldo wa siasa za Tanzania.

Lissu amewazidi mbali sana wanaoshindana naye kwa sasa, sio Magufuli sio Lipumba sio kiongozi yeyote aliyepo hai Tanzania ya sasa.

Lissu kwa umri wake na kiwango anachokionesha, mpaka sasa nimekubali kwamba anaingia kwenye level za wanasiasa wenye uwezo mkubwa sana ya kushawishi watu kwa hoja.

Lissu ana 'tone' moja ya hatari sana katika kuzungumza, hii silaha ya maangamizi ambayo wamejaliwa wanasiasa wachache sana kama kina i) Mahatma Gadhi, ii) Julius Nyerere, iii) Barack Obama na iv) Thomas Sankara. Ni kipawa ambacho wanapewa watu wachache sana, na wanasiasa wenye hichi kipawa huwa hawana historia ya kuwa na mpinzani.

Niliwahi kutoa huu uzi hapa kipindi cha nyuma ----> Uchaguzi 2020 - 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

Kinachotokea sasa, ni kwamba CCM na Magufuli wanaota ndoto kila uchao wakidhani Tundu Lissu labda atapoa makali, lakini kinyume chake ndo kinachotokea, Lissu anazidi kuwa moto siku hadi siku, vibe lake limeshawaingia wapiga kura.

Lissu anaupeleka huu mtanange kwa akili kubwa sana ambayo ndiyo kila uchao inazidi kumpa chance ya kushinda uchaguzi wa October 28, Lissu anajua wananchi ndo wenye nguvu na sio serikali ya CCM, anachofanya ni kutumia akili yake kubwa kupiga spana za uhakika na kuwajaza wananchi falsafa ambayo ndiyo itakuwa msukumo wa wananchi kupiga kura na kulinda kura.

 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
Najua unajifurahisha roho yako, mbona sasa mgombea wako hataki mdahalo????

Mwambie akubali mdahalo, uone ni nani anaongea kama mtoto wa miaka 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
Nyie ccm bado hamwelewi umuhimu wa upinzani, tangu Lissu afike kila mtu amefaidi, ajira 13,000 zimetangazwa bila kupenda, waalimu na madaktari wameajiriwa, vitambulisho vya wamachinga sio lazima kulipia, magu alisema mwenyewe kumbe walikuwa wanakula pesa ya maskini bure Lissu amewezesha mengi kutokea, hata watu wamekuwa na ujasiri wa kuongea sasa na kuikosoa serikali ya kidikteta. Tafadhali wana ccm acheni kufanya siasa za matumbo, angalieni wanyonge wengi nchi hii wanaokufa kutokana na siasa za matumbo za watu wachache.
 
Ni hakuna kweli wa kupambana naye Kwa mambo ya uwongo kama vile ununuzi wa ndege, eti hakuna Mbunge anayejua zilinunuliwa shingapi!

Muongo Yule mtu,
 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
Kinacho wapagawisha no manene machache Uhuru,haki na maendeleo wen gone wakiyasikia haha wanaugua. Na huo ndio Ugeneus wenyewe kwake na Wala sii ndumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…