Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Pana kura ya turufu hapo. Naona wasukuma wanamgeuka msukuma mwenzao
Mkuu wasukuma hawajawahi kuwa pro ccm sijajua kwanini umesema wanataka kumgeuka mwenzao ?

Wasukuma hawajawahi kuwa pro udhalimu na uonevu kwanini unawahusisha na udhalimu na uonevu ?
 
kuna hatari ziwa Victooria lihamishiwa Dodoma sababu ya kiburi cha watu wake ....mnafurika hivyo ili iweje wakati huko ni nyumbani?
 
28/10/2020 Ni siku ya kumpangia kazi nyingine tuliyemwajiri kwenye OFISI nyeti ya umma mwaka 2015.

Na kama mwajiri, nafikiria kumpa kazi ya kuchunga mbuzi kwenye kiwanja Cha ndege kile kilichopo kijijini kwake.
I wish i could be IGP
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vilivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Inakuhusu?
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vilivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Hahahaha Mkuu usipoangalia Mwaka huu utapata stroke na pia inafaa wakuongezee posho yako ya siku maana wenzako wote washakata tamaa wameamua kukaa pembeni.
 
Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa[emoji119][emoji119][emoji119]! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jaman
Walimfanyaje Bibie?
 
Kibaya zaidi,hata ukiwa matakatifu,usipoua,usipoteka,usipo bambikia kesi,Ni lazima tani saba za mchanga zitakaa juu yako😂😂😂!
... na kama unajua hayo kwanini utese au kuua wenzio? Kwamba wewe muuwaji hutakufa au? Sote ni binadamu lazima kuheshimu uhai wa wengine!
 
Halafu Lissu ahakikishe ile wiki ya mwisho tena apite na chopper kanda zote mbili hizi ya ziwa (Mwanza, Geita na Kagera)na ziwa Mashariki (Shinyanga, Simiyu na Mara). Yaani mwaka huu mpaka ajambe cheche!
Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
 
Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....
Wanaenda kufunga kazi Mara, arusha, kilimanjaro, dar singida dodoma na Zanzibar....
Tundu Lissu na ushindi wake w 80% hazuiliki la sivyo the Hague lazima ihusike
 
Nyamagana kakiwanja kadogo kama ka shule ya sekondari basi utasikia ona nyomi akaenda kirumba ajaze kama kidume kweli
Tunatekelezaaaa.
Screenshot_2020-09-24-19-55-15-1.jpg
 
Back
Top Bottom