Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Ana pita kufagia alimo pita Majaliwa jana
Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa🙌🙌🙌! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jaman
 
Bhebe. Ni hivi , huwezi kumpangia mpinzani wako namna ya kuendesha siasa za kukutoa madarakani . Ngazi ya Jimbo kila mbunge hasa wa Jimbo Cdm ana kesi za kubambikiza za uchochezi.

Na si Jimbo tu !!. Hata vikao vya ndani walikuwa wanakamatwa . U communist hautufikishi kokote
Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.

Walipaswa kuendesha elimu na mikutano kwenye majimbo. Sio lazima wawe wabunge. Kukamatwa labda walienda kinyume na kibali.
 
Toka aende Mwanza kapokelewa na Umati anaoana ndo pa kupatia kura hapo anajidanganya sana! Cdm kushinda kanda ya Ziwa ni ndoto! Hivi hamjifunzi tu toka 2015!.
 
Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.

Walipaswa kuendesha elimu na mikutano kwenye majimbo. Sio lazima wawe wabunge. Kukamatwa labda walienda kinyume na kibali.
Ngalu , kumtetea jamaa yako inabidi ujitoe ufahamu. Hiki alichokifanya Maghufuli hakipo duniani pote labda kwa Kagame. Niambie ni mbunge yupi wa Cdm wa Jimbo aliyemaliza bila kesi za uchochezi ?!. Na je majimbo ambayo hawakuwa na wabunge wala madiwani wangeendeshaJe hayo mafunzo ?!. Huu ulikuwa typical u dictator .
 
Kwani kufanya mikutano ya kisiasa mpaka muwe na wabunge na madiwani? Viongozi wa chama kwenye majimbo ndio walitakiwa wafaanye mikutano.
 
Toka aende Mwanza kapokelewa na Umati anaoana ndo pa kupatia kura hapo anajidanganya sana! Cdm kushinda kanda ya Ziwa ni ndoto! Hivi hamjifunzi tu toka 2015!.
Leo Tundu Lissu anaenda kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana, Kesho anaingia Mara kuwanadi wagombea ubunge, baada ya hapo ni Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Daresalaam,Lindi,Mtwara,Ruvuma
 
Kwani kufanya mikutano ya kisiasa mpaka muwe na wabunge na madiwani? Viongozi wa chama kwenye majimbo ndio walitakiwa wafaanye mikutano.
Hujui unalolitetea , siasa zilipigwa marufuku wangeendeshaje hayo unayoyasema ?!. Yeye aliruhusu kinafki mbunge au diwani kwenye eneo lake. Ambako nako kila walipojaribu hata kukagua miradi waliishia vyesi. Kwa ujumla huyu hakutakiwa kuongoza wenye akili bali ng'ombe
 
Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa[emoji119][emoji119][emoji119]! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jaman
Wangari Maathai hao wathu wa Musoma warimfanyache waziri mkubwa jaman? Tuadithie kidogo nasie tumuonee japo kijihuruma.
 
Wangari Maathai hao wathu wa Musoma warimfanyache waziri mkubwa jaman? Tuadithie kidogo nasie tumuonee japo kijihuruma.
Alirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea😀😀!
Jazba unazomuanaga nazo Heche ndo wanamusoma wako hivyo pia😀😀🙌🙌! Nawaza kuhamia huko mazima nikaliwaze nafsi yangu
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Bora yeye kuna vyama viwili vina doji compaign
 
l
Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.

Walipaswa kuendesha elimu na mikutano kwenye majimbo. Sio lazima wawe wabunge. Kukamatwa labda walienda kinyume na kibali.
lakini kwa nini sheria hizi zianze 2015 baada ya kunusurika, katiba yetu inakataza kutunga sheria za kibaguzi, lakini miaka hii mitano nchi hii imeongoza kwa kutunga sheria za kukibeba chama cha CCM.
Kwa nini MWINYI,MKAPA,KIKWETE hawakuviza uhuru wa watu kama huyu mnaempigia debe?
 
Yuko njiani anaenda Mara, hapo Mza he is just in transit, so please take care.
... na pia Mwanza pana infrastructure mahususi kumwezesha kuongea na dunia jioni ya leo kupitia mdahalo utakaowajumuisha magwiji wa issues za kidunia akiwemo Rais wa Jamhuri ya Ghana, HE Akufo Nana-Addo. Mdahalo huu utakuwa kwa lugha ya Kiingereza na utahusu masuala mtambuka. Tukae mkao wa kula kumsikiliza kipenzi cha watanzania ataiambia nini dunia.
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Ukosefu wa akili ni mapungufu kama kile kilema mwilini. Yaani hata we we YEHODAYA hujui kuwa ratiba inapangwa na NEC?
Na hujui pia kuwa Lissu alienda Nyamagana awali kwa ajili ya wadhamini? Au ndio kilema ulichonacho cha kichwani?
 
Back
Top Bottom