Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mkuu we acha tu, hakuna nabii aliewahi kukubalika kwao ndicho kinachomtokea lisu, kuna member humu aliwahi kusema nanukuu "ningekuwa mimi ni lissu, ningetulia nikae nile ugali na familia yangu kwa utulivu badala ya kuhangaika kupigania watu wasiojielewa " lissu angeweza hata kujipendekeza akaunga mkono juhudi akapata cheo.

Bahati mbaya hakuumbwa hivyo, ni mtu mwenye matamanio ya kuona Tanzania ni mahala pa haki, palipo na viongozi na si miungu watu, wanaotambua maendeleo ni haki ya watanzania wote bila kubagua itikadi na si hisani, kadhalika na kadhalika.
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Wastage of money?!

Mlisema Chadema haina hela za kampeni sasa hizi za kupoteza wamezitoa wapi tena?
 
WA-IMG-20200924-be831bc8.jpg
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vikivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Kumbe alikaribishwa vizuri?!

Kwa hiyo zile picha mnazosema za kuedit huwa ni za kweli?
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Tayari joto limepanda kadanganywa kwamba kanda ya ziwa ndiyo inatoa rais basi kwa ujinga wake kaachia goli anakwenda kukaba. KANDA YA ZIWA INA WENYEWE, umati atapata lakini hata akitaka abwebwe sawa tu, wasukuma wakarimu sana, ila kwa kura wasukuma watashangaza umma.
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Pana kura ya turufu hapo. Naona wasukuma wanamgeuka msukuma mwenzao
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vikivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Naona moyo unataka kukutokea mdomoni..
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vikivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Mbona unalialia sana? Anatakiwa apige kambi huko, aibomoe bomoe ngome ya jiwe huko mpaka yabaki magofu tupu.

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vikivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Pengine Ni mgeni najiji la Mwanza au unalisikia tu kwenye mitandao mkuu.sisi tulio zaliwa Mwanza mini tunazjua vzur siasa za Mwanza.Mwanza mjn inaundwa na wilaya2 Nyamagana na Ilemela.....ambapo Apo mwanzo Nyamagana nailemela ilkuwa niwilaya1 ya Mwanza mjn.....toka Tanzania imepata uhuru Nyamagana haijawah ludia upumbavu wakutawaliwa nambunge1 miaka10 ata wakat wachama kimoja.kwaiyo pale usjfalj kabsa Kama CCM mtapata kura,anachofanya Lissu nachadema nkwenda kuwafuta kabsa pale nandio maana Anatua Nyamagana kabsa....;Ataivyo najua kwauoga mlionao kwamkoa huo lazma mtatuma tena watu wenu wakawatete.....maana kukumbu mnayo ata elfu2015 mlicho kfanya.safar hii hamtajalbu ata robo maana huwa hatuludii ubumbavu mara2,Kama unabsha muulze Sirro wakat ni RPC
 
Polokwane.

Hivi unadhani ni kwanini vinijini?! Uelewa huko ni mdogo, ukizingatia hao jamaa within 5 yrs walikuwa na kibano cha kutokufanya siasa.
Pili huyo unayesema anakubalika kavihatamia vyombo vya habari. Ni yeye na chama chake tu ndiyo watatangazwe. Ufanyaji siasa Africa especially Tanganyika ni mgumu sana.

Hata hapo walipofanya kina Lissu na chama chake, wamejitahidi.
Kwani mgelifanya siasa ngazi ya majimbo msingeweza kuwaelesha wananchi? Au mpaka muwe na operation sangara?
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Zile zilikuwa kampeni za uzinduzi wa Kanda chief. Sasa anafanya kampeni za jimbo kwa jimbo na atapita majimbo yote hata yale mliyoengua wagombea kama Misungwi na ataungwa mkono sanaaa.

Nikukumbushe kuwa kampeni za jimbo kwa jimbo alianzia Kibaha akarudi nyanda za juu na sasa yupo kanda ya ziwa.
 
Sasa uzinduzi wa kanda aliufanyia mwanza mjini hapo hapo lilipo jimbo LA Nyamagana na Leo anarudi exactly hapo hapo hiyo kiboko ha ha ha
 
Kwani mgelifanya siasa ngazi ya majimbo msingeweza kuwaelesha wananchi? Au mpaka muwe na operation sangara?
Bhebe. Ni hivi , huwezi kumpangia mpinzani wako namna ya kuendesha siasa za kukutoa madarakani . Ngazi ya Jimbo kila mbunge hasa wa Jimbo Cdm ana kesi za kubambikiza za uchochezi.

Na si Jimbo tu !!. Hata vikao vya ndani walikuwa wanakamatwa . U communist hautufikishi kokote
 
Back
Top Bottom