Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Saa 12 jioniHii ni saa ngapi mkuu na kituo gani kitaonesha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 12 jioniHii ni saa ngapi mkuu na kituo gani kitaonesha?
Na watalipwa kwa UONGO wao kwa waTz, hasa katika hii miaka mitano ya giza.Kuanzia Leo natamka rasmi kuwa CCM ni waongo wanaotunga uongo kwa sababu zao.
Mkuu wasukuma hawajawahi kuwa pro ccm sijajua kwanini umesema wanataka kumgeuka mwenzao ?Pana kura ya turufu hapo. Naona wasukuma wanamgeuka msukuma mwenzao
Hivi mlikuwa mnatumia sheria/katiba ipi?Kwani kufanya mikutano ya kisiasa mpaka muwe na wabunge na madiwani? Viongozi wa chama kwenye majimbo ndio walitakiwa wafaanye mikutano.
Wale wenye drama ya kupigwa risasi upande wa kushoto na kuumia mguu wa kulia😂😂😂😂.Hivi nani wengi?
I wish i could be IGP28/10/2020 Ni siku ya kumpangia kazi nyingine tuliyemwajiri kwenye OFISI nyeti ya umma mwaka 2015.
Na kama mwajiri, nafikiria kumpa kazi ya kuchunga mbuzi kwenye kiwanja Cha ndege kile kilichopo kijijini kwake.
Inakuhusu?Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai
Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vilivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Hahahaha Mkuu usipoangalia Mwaka huu utapata stroke na pia inafaa wakuongezee posho yako ya siku maana wenzako wote washakata tamaa wameamua kukaa pembeni.Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai
Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vilivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
Na mpenda wadada weupe.Tuko pamoja mtu wangu, tukatae mateso kwa nguvu zote toka kwa anaejiona kuwa yeye ni mungu wa pili.
Kwani kuna ubaya Bwashee?Sasa uzinduzi wa kanda aliufanyia mwanza mjini hapo hapo lilipo jimbo LA Nyamagana na Leo anarudi exactly hapo hapo hiyo kiboko ha ha ha
Walimfanyaje Bibie?Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa[emoji119][emoji119][emoji119]! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jaman
... na kama unajua hayo kwanini utese au kuua wenzio? Kwamba wewe muuwaji hutakufa au? Sote ni binadamu lazima kuheshimu uhai wa wengine!Kibaya zaidi,hata ukiwa matakatifu,usipoua,usipoteka,usipo bambikia kesi,Ni lazima tani saba za mchanga zitakaa juu yako😂😂😂!
Lakini si pia anaenda Mara? Sasa kama kapiga stop hapo wewe inakupa tabu gani.Transit wakati ana mkutano hapo transit gani hiyo?
Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotajaHalafu Lissu ahakikishe ile wiki ya mwisho tena apite na chopper kanda zote mbili hizi ya ziwa (Mwanza, Geita na Kagera)na ziwa Mashariki (Shinyanga, Simiyu na Mara). Yaani mwaka huu mpaka ajambe cheche!
Mkuu naona ulimaanisha BP... acha wapateWatu watapata BS sasa...!!!
Kagera, iringa Njombe morogoro, katavi mpanda Mwanza geita huko tayari kazi imeisha....Kagera hamna shida mkuu mambo ni safi ila hizo sehemu zingine ulizotaja
... huyo jamaa anawashwa mno Lissu kutua Mwanza sijui kwanini? Ni as if kwamba Lissu hatakiwi kuwepo Mwanza. Labda wamshauri bosi wao Lissu apatiwe "persona non grata" ya jiji la Mwanza ili roho yake YEHODAYA isuuzike.Lakini si pia anaenda Mara? Sasa kama kapiga stop hapo wewe inakupa tabu gani.
Nyamagana kakiwanja kadogo kama ka shule ya sekondari basi utasikia ona nyomi akaenda kirumba ajaze kama kidume kweliKama anaubavu wa kumvuruga JPM kwa nini asiende CCM Kirumba ?
Tunatekelezaaaa.Nyamagana kakiwanja kadogo kama ka shule ya sekondari basi utasikia ona nyomi akaenda kirumba ajaze kama kidume kweli