Usinifokee si kukuzaa Mimi ,we Kama IQ lipi wanidi mkuu ninao uwezo wa kukuajiri wewe na familia yako pamoja na maisha magum yaliyopo ,tueshimiane mkuu
HII SI MCHEZOTunatoka nyumbani muda huu. Break point ni kanda maalum Tarime
Hakika leo nyumbani kumenoga
View attachment 1580909
Ni wapi hapo mkuu?Tunatoka nyumbani muda huu. Break point ni kanda maalum Tarime
Hakika leo nyumbani kumenoga
View attachment 1580909
Hatari sana!! Watanzania tumeamua mwaka huu. Tunaenda kuweka historia kuu mwaka huuTunatoka nyumbani muda huu. Break point ni kanda maalum Tarime
Hakika leo nyumbani kumenoga
View attachment 1580909
Wazungu wanasema "unprecedented"HII SI MCHEZO
Nashukuru mkuu ,mwenye iq yake ,ila elewa binadam wote ni sawa ila sio sawasawa , unafikili lahana lazima upewe na mama mzazi aliekuleta duniani ,zingine unapata hapahapa bila chenga ,hapo ulipo kupita hapa hapa live ,so nakuonya usinifokee , low IQ ,wewe yako kubwa umeitumia fanyia Nini kuanzia mtaa unaokuzunguka ,ukiendelea iyo high IQ yako nitaichoma live pitia hapahapa bila chenga na itakuaKama ungekuwa na uwezo huo, ingeonekana, low IQ!
Huyu jamaa amekuwa akiamini katika ushirikina na ubabe. Sasa kaona isiwe shinda....akapate nguvu kidogo za isangoma wake labda upepo utabadrika.CCM lazima waitishe kikao cha dharura, na wasipokuwa makini, wataishia kulaumiana kwenye hicho kikao wakitafuta mchawi wakati wa kulaumiwa atakuwa yuko high table.
Nashukuru mkuu ,mwenye iq yake ,ila elewa binadam wote ni sawa ila sio sawasawa , unafikili lahana lazima upewe na mama mzazi aliekuleta duniani ,zingine unapata hapahapa bila chenga ,hapo ulipo kupita hapa hapa live ,so nakuonya usinifokee , low IQ ,wewe yako kubwa umeitumia fanyia Nini kuanzia mtaa unaokuzunguka ,ukiendelea iyo high IQ yako nitaichoma live pitia hapahapa bila chenga na itakua
Imeisha hiyoMagufuli haamini anachokiona!! Anaiwazia ile graph ya Twaweza anaumiiiia!!
Jamaa ana roho ya kukataliwa ndio maana katili sana!
HahahaaaaNEC Na msajili wa vyama vya siasa njoon Na matamko jamaaani,mabeberu yanatuua huku.kila kukicha afadhali ya jana
Ngoja tuone mafuriko ya keshoNi yeye,namsubiria kwa hamu kesho hapa bunda
Hivi kesho ndo anaisafisha Mara eehNi yeye,namsubiria kwa hamu kesho hapa bunda