Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Namanisha mwezi ujao na nimesharekebisha hapo juu maana mishahara ilishatoka toka tarehe 22 kama sio 23 ya mwezi huu.Payroll ya mwezi huu ilishapita na watu wameshalipwa hakuna kilichobadilika.
Nilandika kwenye thread moja. Moja anashuka wakati mwingine anapanda chart. It is almost the breaking point now. After that hakuna a tenav way back.Wazungu wanasema "unprecedented"
Alie kwambia tupo mashindano ya mundiko nani ,?nakupa onyo la pili na la tatu ukiludi nitatoa tamko juu yako asema na itakuaHata kuandika vizuri haujui, Low IQ!
Siku za mwisho wa kampeni ataisambaratisha PhD ya jiweLissu the GREATEST ni GENIUS huwezi kumlinganisha na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.
Hata afanye nini! It’s too late. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huu. CCM inaenda kupoteza dola mwaka huu!Mwezi ujao mishahara isipoongezwa na madeni yote ya watumishi kulipwa, sijui!
Alie kwambia tupo mashindano ya mundiko nani ,?nakupa onyo la pili na la tatu ukiludi nitatoa tamko juu yako asema na itakua
Hahahaha!!! Watu wa Mukendo na Baruti hawataki utani na vitu vya kijani. Ujue magugu maji yanawazingua sasa ukija tena na manguo ya kijani ndo wanaona umeyaleta tena. HahahahaAlirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea[emoji3][emoji3]!
Jazba unazomuanaga nazo Heche ndo wanamusoma wako hivyo pia[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]! Nawaza kuhamia huko mazima nikaliwaze nafsi yangu
God save Tundu Antipus LisuWatu wanamuangalia Lissu kama mwanasiasa na mwanasheria, lakini nje ya hapo wanasahau hichi kichwa ni typical Genius. Huyu ndo Messi na Christiano Ronaldo wa siasa za Tanzania.
Lissu amewazidi mbali sana wanaoshindana naye kwa sasa, sio Magufuli sio Lipumba sio kiongozi yeyote aliyepo hai Tanzania ya sasa.
Lissu kwa umri wake na kiwango anachokionesha, mpaka sasa nimekubali kwamba anaingia kwenye level za wanasiasa wenye uwezo mkubwa sana ya kushawishi watu kwa hoja.
Lissu ana 'tone' moja ya hatari sana katika kuzungumza, hii silaha ya maangamizi ambayo wamejaliwa wanasiasa wachache sana kama kina i) Mahatma Gadhi, ii) Julius Nyerere, iii) Barack Obama na iv) Thomas Sankara. Ni kipawa ambacho wanapewa watu wachache sana, na wanasiasa wenye hichi kipawa huwa hawana historia ya kuwa na mpinzani.
Niliwahi kutoa huu uzi hapa kipindi cha nyuma ----> Uchaguzi 2020 - 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla
Kinachotokea sasa, ni kwamba CCM na Magufuli wanaota ndoto kila uchao wakidhani Tundu Lissu labda atapoa makali, lakini kinyume chake ndo kinachotokea, Lissu anazidi kuwa moto siku hadi siku, vibe lake limeshawaingia wapiga kura.
Lissu anaupeleka huu mtanange kwa akili kubwa sana ambayo ndiyo kila uchao inazidi kumpa chance ya kushinda uchaguzi wa October 28, Lissu anajua wananchi ndo wenye nguvu na sio serikali ya CCM, anachofanya ni kutumia akili yake kubwa kupiga spana za uhakika na kuwajaza wananchi falsafa ambayo ndiyo itakuwa msukumo wa wananchi kupiga kura na kulinda kura.
View attachment 1580724
ccm hawataki vyama vingine watumie hivyo viwanja kisa wakijimikikisha baada ya mfumo wa vyama vingi.Kama anaubavu wa kumvuruga JPM kwa nini asiende CCM Kirumba ?
Makamba na Kinana watamalizia mwishoni mwa game. Wala usiwe na hofu.Mzee Makamba nae kaishia wapi,na vipi Kinana?
Unafahamu hata uwezo wa Lissu darasani? Unajua shule alizosoma zinasifa gani?Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
Nikweli gorofani yuko vizuri sana mpaka nyoka wanatoka mapangoni 'yule anaependa kuitisha wandishi wa habari nadhani kapwaya kwenye nafasi yake' spana zimemzidi hadi anaenda kupumlia kwenye vyombo vya habari bado kajaa maji 'empty head' upinzani umehamia kwa wananchi ambao hawana vyamaWatu wanamuangalia Lissu kama mwanasiasa na mwanasheria, lakini nje ya hapo wanasahau hichi kichwa ni typical Genius. Huyu ndo Messi na Christiano Ronaldo wa siasa za Tanzania.
Lissu amewazidi mbali sana wanaoshindana naye kwa sasa, sio Magufuli sio Lipumba sio kiongozi yeyote aliyepo hai Tanzania ya sasa.
Lissu kwa umri wake na kiwango anachokionesha, mpaka sasa nimekubali kwamba anaingia kwenye level za wanasiasa wenye uwezo mkubwa sana ya kushawishi watu kwa hoja.
Lissu ana 'tone' moja ya hatari sana katika kuzungumza, hii silaha ya maangamizi ambayo wamejaliwa wanasiasa wachache sana kama kina i) Mahatma Gadhi, ii) Julius Nyerere, iii) Barack Obama na iv) Thomas Sankara. Ni kipawa ambacho wanapewa watu wachache sana, na wanasiasa wenye hichi kipawa huwa hawana historia ya kuwa na mpinzani.
Niliwahi kutoa huu uzi hapa kipindi cha nyuma ----> Uchaguzi 2020 - 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla
Kinachotokea sasa, ni kwamba CCM na Magufuli wanaota ndoto kila uchao wakidhani Tundu Lissu labda atapoa makali, lakini kinyume chake ndo kinachotokea, Lissu anazidi kuwa moto siku hadi siku, vibe lake limeshawaingia wapiga kura.
Lissu anaupeleka huu mtanange kwa akili kubwa sana ambayo ndiyo kila uchao inazidi kumpa chance ya kushinda uchaguzi wa October 28, Lissu anajua wananchi ndo wenye nguvu na sio serikali ya CCM, anachofanya ni kutumia akili yake kubwa kupiga spana za uhakika na kuwajaza wananchi falsafa ambayo ndiyo itakuwa msukumo wa wananchi kupiga kura na kulinda kura.
View attachment 1580724
Mungu akushughulikie kadri apendavyo ,avunje Kila mahali na avunje kweli ,kesho huione Jana na Jana uione ni leo ,kataliwa Kila usimamapo , kuanzia jirani yako ,mpaka kazini kwako,na maboss wako,imekua na itakua asema yeye mwenye nguvu kuliko Kila kitu ha dunian,Wewe shida yako ni zaidi ya muandiko, haujui hata tu jinsi ya kuunda sentensi na kueleweka, low IQ!