Ushauri wako ni mzuri.

Aksante hujawa mnafiki japo tunajua msimamo wako
 
Kampeni za TL zimejaa uongo kabisa mwingi. Angekuwa mpambe tu ingekuwa poa. Shida yeye ndie Rais mtarajiwa unategemea nini.

Ahadi zake pia ni ngumu uno kutekelezeka. Sioni kama kutakuwa na serikalii serious ama maigizo tu.

Kiufupi ni serikali ya kufikilika.
 
Hivi itakuaje kama atakuwa na ushahidi?
 
Sasa kwenye team yake ya kampeni kuna bananga, unategemea nini hapo? Sijui lossu alifikiria nini kumuweka bananga kwenye timu yake ya kampeni
Mataarifa kibao ya kuhusu mienendo yake yanavuja kila siku

Na ndiyo maana kwakuwa 'nampenda' halafu ni 'Mtani' wangu nimeona 'nimshtue' na 'nimtahadharishe' mapema tu kwani anaingia 'Mtegoni' mno.
 
Wanaompa info Kigogo ndio hao hao wanaompa Lissu
 

Umempa ushauri mzuri sana. Kumbe kuna mapandikizi tayari.
 
Hata mimi nilishtuka kidogo niliposikia ile ya ma DED, inabidi ajitahidi kuwa na multiple sources ambao hawajuani ili aweze ku verify taarifa anazopokea.

Nimeupenda sana huu 'Mchango' wako Mkuu kwani umesema vyema kabisa na umemaliza kila Kitu na Lissu asipotusikia asije Kujutia huko mbele.
 
Ni wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii

View attachment 1582809
Hawachanganyikiwi na uwingi wa watu pekee bali na hamasa waliyo nayo wahudhuriaji. Watu waliokuja wenyewe kwa gharama zao. Tena huku vyombo vya habari vikiwa vimepigwa marufuku kutangaza mikutano ya Lisu.

Wao pamoja na kuwasafirisha wahudhuriaji, kuwapa pesa, kuwajaza wasanii, bado wanaohudhuria ni watu waliosinyaa. Wanaoashiria kuwa wamelazimishwa, kama alivyotamka Mama Maria Nyerere, 'Nimeletwa kama walaivyoletwa wengi ili tuongeze idadi ya vichwa'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kumuita Lissu akajieleze kamati ya maadili naona Mahera na Tume kwa ujumla wanajiaibisha na kujiweka wazi kuwa wako upande wa mgombea fulani. Magu ameshafanya makosa mengi ya wazi yanayohusu sheria zilizotungwa na NEC na hawajaongea wala kuonya!
 
Acha uongo wewe bashite uoga unawaponza sana yeye akipata tipu hata ya asilimia 0.000001 aiseme tu tume hii imeenguwa wabunge 52 madiwani 1200 ina uharari gani kwa chadema.

mkurugenxi wa uchaguzi taifa kada mtiifu wa ccm asiyenaibu kabisa kupendelea mgombea mmoja wapo lazima aaambiwe mabaya wayafanyayo magufuli alitumbuwa watu wengi na kusweka watukibao nagerezani akijiita yeye msafi hana doa kumbe ni fisadi namba 1 lazima aambiwe kama yeye afanyavyo
 
Nyie watu hasa Gentamycine kwanza hamna msimamo, nusu ccm nusu Chadema. Kesho magu akiwafurahisha mnaamia ccm siku nyingine mkiona Lissu anawini mnaamia Chadema. You fear to take sides and stand by the choice, are you vying for sainthood?, no this is politics.

Gemtamycine kukubaliwa au kukataliwa hakutokani na jambo moja tu, magu anakataliwa kwa mrundikano wa mambo pengine 50. Ni mlinganisho tu hapa nani shetani zaidi au nani malaika zaidi.

Lissu hajakosea kuhusu ma-DED, iwe ni kweli waliitwa au hawajaitwa Dodoma, kinacho matter hapa ni ukweli kuwa ma-DED wanapokea amri kutoka kwa magu, hilo kila mtu anajua hivyo kuwalipua ni sawa tu hata kama hawajaenda Dodoma na sio lazima waende Ddm wapo kwenye control ya jiwe kila wakati.

Litakalomwangusha Lissu au kiongozi yoyote sio precision politics (hizi zina mashiko nchi zilizoendelea kama USA, NK ambapo wanashindania kwenye ncha ya sindano) ila kwetu hapa sayansi yake ni nyingine na Lissu anaijua vizuri mpaka sasa yupo vizuri sana. Usimshauri Lissu awe precise on magu, our people have no sense of precision, they are sensational and by this anyone wins them.

Gemtamycine you are too methodical and may not win a naive community like ours. Don't bring your biology book to the campaigns, you will loose to an illiterate politician.
 
Wanamwamini sana Kigogo, aliwahi ingizwa mkenge yeye na Zitto kwamba JPM kakimbizwa South Africa then Ujerumani baada ya kuzidiwa na wakaamini. Kuanzia hapo ndo nikawaona wanasiasa wetu ZERO kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…