Mkuu naomba kama inawezekana nipatie ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya 2020 nataka niisome maana simuelewi sana huyu mgombea wa CHADEMA ahadi zake ni nyepesi mno kwa taifa ambalo sasa lipo middle income (lower). Nilitarajia aje na hoja nzito za kujenga uchumi imara wa nchi yetu lakini naona anapuyanga puyanga tu mambo mepesi mepesi sana. Ahadi anzatoa mgombea urais wa CHADEMA zinafaa kutolewa na wagombea ubunge na siyo mgombea urais wa JMT.
 
Kumbuka huwezi kujitetea kuwa umevunja sheria kwa sababu mwenzako kaivunja. Kila mtu ataubeba msalaba wake. Kama TL anataka asijiingize kwenye m,tego awe anahakikisha taarifa anazoletewa. Huenda hata hao TISS wanampa taarifa za uongo makusudi ili aingie mtegoni. Fact check (verify) all info. Kama ni kweli anko Magu aliwaita wasimamizi, basi TL asingekurupuka kuyasema hayo. Angengoja kwanza wakutane na akithibitishiwa wako mkutanoni na anko Magu, basi zitoe hizo taarifa. Sasa yeye amekurupuka, hata kama ilikuwa kweli wamemshtukia na kufuta kila kitu! Ushahidi atatoa wapi siku atakapofika mbele ya tume! Je, akiadhibiwa atyasema ameonewa? Grow up! Don't fall to simple traps!
 
Waswahili husema upele umempata mkunaji Tundu Lisu mmoja ameivuruga CCM yote na vibaraka wake wote wanao isadia kuiba kura kila uchaguzi.

Walijaribu kujibu kila hoja anayoizungumza huko nako akawa anawarudi vizuri Sana, sasa wanakuja vipropaganda uchwara kuwa ana uraia wa nchi mbili , Mara ana wapotosha wananchi wakidhani kuwa bado kuna watanzania wajinga wasio jua kupambanua uongo na ukweli. Mara anahubiri uchochezi Ni uchochezi gani alio uhubiri, kwani kwa kuiba kura kunako fanywa na CCM katika kila chaguzi za nchi hii sio uchochezi.

CCM Kama mmekosa kibali Cha kuwaongoza watanzania 2020, kaeni pembeni nanyi pia muongozwe.
 
Kuna haja ya kukataa ushenzi wa ccm hata kwa maandamano na kwa namna yoyote ile ili mradi ccm itoke mwaka huu.
 
 
Maccm na magufuli kinachowauma zaidi ni kwamba wananchi wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ya Lissu bila kubebwa na mafuso kama wanavyofanya maccm. Pia wale wa Lissu hawaiishii tu kuhudhuria kwa gharama zao bali pia wanashiriki live kuchangia gharama za kampeni za RAIS MTEULE TUNDU LISSU.

Ukiwa jiwe lazima kichwa kikuume.
 
....na ukizingatia hapo hakuna cha wasanii wala kusomba watu kwa malori ili kuongeza idadi ya vichwa

hata matangazo ni ya kiaina tu...upande wa pili kuanzia magazeti, redio, tv's nk nk

wakipanic ni halali yao kabisa, c ulimsikia mwenyekt kadanganywa eti mikutano ya TL picha za kuedit!
 
Sasa wamekimbilia NEC
 
Kabisa Mkuu sasa wamepanic ....wanapiga mayoweee
 
Wingi wawatu waliojitokeza kwenye mikutano ya Lissu kuanzia Kagera na kufunikwa na mkoa wa Mara umewaamsha wote .. Lissu kazia hapo hapo wameshalegea hawa.
 
Nasikia anataka kujitoa kwenye kinyanganyiro.
Heheheee...... Juzi dodoma kwenye vikaobile nasikia alipendekeza wamlete michael jackson asaidie kutumbuiza kwenye kampeni lkn kwa mara ya kwanza wajumbe wamemwambia ukweli kua wako jacko alishafariki miaka mingi iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…