Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
 
Mods huwa hawahamishi uzi wa english hata kama kuna uzi mwingine wenye mawazo sawa na wa kiswahili.
Tatizo ni English au nini ?
 
Aya nawaona wasomi nguri wa CHADEMA mkijimwayamwaya jukwaaani,
Sisi wa majalalani tupo tuna wazoom tu
Hapo 28/10 tutaelewana tu
 
Kizungu cha ugoko ili uonekane wa "maana" sio?
 

Mjomba umeandika kiswahili kwa maneno ya english. Hapo mtu nje ya mswahili hawezi kuelewa umeandika nini. sisi tunakuelewa kwasababu tunasoma kiswahili chako kwa maneno ya english.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…