Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Roho itawatoka mwaka huu.
Unataka ahojiwe kila siku?
Unataka aandikwe kila siku?
Unataka hivyo vyombo viache Mambo ya nchi zao viwe LIVE kwa Mambo ya nchi nyingine?

Mara ngapi umesikia au kuona DW, VOA, BBC au CNN wakimhoji Trump?

Acha Dawa Iwaingie ili mpone
 
International media Ku cover mtu credibility na reliability ya anachosema ni muhimu mno

Lisu alisema kabla kuja Tanzania na alipofika kuwa Tanzania kuna Corona ila serikali inaficha wakati ni uongo yeye mwenyewe havai barakoa kuanzia siku katua toka ubelgiji

Uongo wake wa karibuni ni ule alisema atakuwa mdahalo wa kimataifa utakaomhusisha raisi wa Ghana na yeye kumbe muongo haukuwepo fix alikuwa akitafuta umaarufu hewa!!

Ndio maana media za nje zina mu ignore
Taarifa zake sio credible na real liable
 
Mi nachojua ni kwamba tofauti na wagombea wengine Lisu kawazidi Lumumba kwambali sana ingekuwa na marathon basi jamaa kawazunguka kiasi kwamba hamna hoja tena.

Sio nyie mlisema Lisu ni mgombea wa mabeberu leo mnageuka?
Safari hii kitakacho waokoa ni kucheza faulo tu ila kiuhalisia tayari mmepigwa K.O
 
Back
Top Bottom