wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Pamoja na Tume ya uchaguzi kuwasaidia CCM lkn bado hawajaweza mziki wa Chadema...
Mwaka huu CCM wajiandae kuwa chama Cha upinzani...
Mwaka huu CCM wajiandae kuwa chama Cha upinzani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida nikuwa unachuki na haki, wewe simfuasi wa haki. Bali nimfuasi walazima ushinde wewe haijalishi kwa njia gani.Shida ni nini arifu?
bado huaminiNdoto za alinacha
Ccm wanajidanganya na ninaona wanapoekekea dawa yao ni umma kudai haki kwa nguvu mpaka wasalimu amri.CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi. Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola...
Watu wakichoka na udhalimu nguvu ya umma huja yenyewe 'every body is mad the degree of madness is measured when angry 'CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi. Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola...
JF... Mh...!!!CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi.
Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola. Na Safari hii wananchi wanasema Kama haki haita tendeka kwa lengo la kuminya maamuzi yao itatumika nguvu ya umma , na hii ndio njia pekee inayo tumika duniani kote kudai haki.
Ni kwa Mara ya Kwanza wadhalimu wa nchi hii watapambana na nguvu ya umma.
Hahaha kuongeza idadi,amakuja kwa hiari yake mwenyewe Tena Ana amani ya moyo wake na furaha kabisa.Hajakokotwa huyo
Povu la nini umeguswa. Tega vizuri sindano ikuingie mataga. We mbona ID fake.Nguvu ya umma unatumia ID fake? Huku ni mfanyakazi wa halmashauri??
Nguvu ya umma nani ataongoza wakati wewe mwenyewe umejificha?
Unamdanganya nani?
Hao wafagia barabara wameanza tangu 1995
Nadhani ni ndoto pia na zinakaribia kukoma kuwa ndotoNdoto za alinacha
Nadhani advertise imeonekana jana Serengeti...kwa mara ya kwanza police wamesanda na kulegeaNguvu ya umma unatumia ID fake? Huku ni mfanyakazi wa halmashauri?
No,Uhuru,haki na maendeleoShida ni nini arifu?
DC wa Hai mkoani Kilimanjaro, ameitisha semina ya wanawake wajasiria Mali ifanyike leo tar 29.9.2020 ukumbi wa snow view ili kuzuia wanawake wasihudhurie mkutano wa Chadema. Hii unaonyesha jinsi gani ccm insogomba mziki wa Chadema. Hata hivyo wengi wa wanawake hao tumeongea nao kwa mkoa ya simu wanasema Lila watakachoambiwa wafanye na ccm watafanya Ila kura zote wanazipeleka Chadema.Wakati ukuta
✌🏾✌🏾✌🏾DC wa Hai mkoani Kilimanjaro, ameitisha semina ya wanawake wajasiria Mali ifanyike leo tar 29.9.2020 ukumbi wa snow view ili kuzuia wanawake wasihudhurie mkutano wa Chadema. Hii unaonyesha jinsi gani ccm insogomba mziki wa Chadema. Hata hivyo wengi wa wanawake hao tumeongea nao kwa mkoa ya simu wanasema Lila watakachoambiwa wafanye na ccm watafanya Ila kura zote wanazipeleka Chadema.