Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Inaonesha umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji hapa majuzi
 
CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi. Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola...
Ccm wanajidanganya na ninaona wanapoekekea dawa yao ni umma kudai haki kwa nguvu mpaka wasalimu amri.
 
CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi. Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola...
Watu wakichoka na udhalimu nguvu ya umma huja yenyewe 'every body is mad the degree of madness is measured when angry '
 
CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi.
Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola. Na Safari hii wananchi wanasema Kama haki haita tendeka kwa lengo la kuminya maamuzi yao itatumika nguvu ya umma , na hii ndio njia pekee inayo tumika duniani kote kudai haki.
Ni kwa Mara ya Kwanza wadhalimu wa nchi hii watapambana na nguvu ya umma.
JF... Mh...!!!
 
Nguvu ya umma unatumia ID fake? Huku ni mfanyakazi wa halmashauri??

Nguvu ya umma nani ataongoza wakati wewe mwenyewe umejificha?

Unamdanganya nani?

Hao wafagia barabara wameanza tangu 1995
Povu la nini umeguswa. Tega vizuri sindano ikuingie mataga. We mbona ID fake.
 
Wakati ukuta
DC wa Hai mkoani Kilimanjaro, ameitisha semina ya wanawake wajasiria Mali ifanyike leo tar 29.9.2020 ukumbi wa snow view ili kuzuia wanawake wasihudhurie mkutano wa Chadema. Hii unaonyesha jinsi gani ccm insogomba mziki wa Chadema. Hata hivyo wengi wa wanawake hao tumeongea nao kwa mkoa ya simu wanasema Lila watakachoambiwa wafanye na ccm watafanya Ila kura zote wanazipeleka Chadema.
 
✌🏾✌🏾✌🏾
 
CCM wamebakiza mbinu moja tu ya kuiba kura ...

Wanapanga kuiba kura huku kuwaaminisha wananchi kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi...maisha gani hayo bila HAKI?

Maisha ni Haki, hakuna Haki hakuna maisha...!! Na hii principal imetumika pote duniani tangu enzi za mababu zetu.

Lissu una umma wa watanzania, CCM wana dola na wasanii.
 
yaani ma CCM ni mepesi kweli kweli kuliko sufi, alafu maoga kuliko kunguru, pambaf zao
 
Back
Top Bottom