Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM habari yao imekwisha , Tundu mtu mmoja Kisha wachana vipande vipande kwenye Kona zote za nchi.
Mbinu walio bakiza ni ile ilyo zoeleka ya kutaka kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola. Na Safari hii wananchi wanasema Kama haki haita tendeka kwa lengo la kuminya maamuzi yao itatumika nguvu ya umma , na hii ndio njia pekee inayo tumika duniani kote kudai haki.
Ni kwa Mara ya Kwanza wadhalimu wa nchi hii watapambana na nguvu ya umma.
Unaweza kuwa ulijiunga mapema ila ulikuwa unashinda kwenye majukwaa ya MMUHujitambui wewe mtoto. Wakati watu wanajadili siasa za nchi hii ulikuwa bado unanawishwa ukijisaidia kwa utoto wako.
Angalia tofauti kijana.View attachment 1584216View attachment 1584217View attachment 1584218
Aminapamoja sana mkuu.
Wakuu kama kawaida yetu leo tena tunawaletea yanayoendelea kwenye kampeni za Mh Tundu Lissu ambaye ndio Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni...
usikonde mkuuEndelea kutujuza yanayo jiri huko.
Wakuu kama kawaida yetu leo tena tunawaletea yanayoendelea kwenye kampeni za Mh Tundu Lissu ambaye ndio Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni....
Yaani mimi nichukue taarifa kutoka kwa mwaccm duni kama wewe ?Waambie ukweli, mimi nikisema naonekana msaliti! Ila nakushauri waambie ukweli wa sababu za kuhairishwa, kama mnafahamiana mpigie simu amani, yupo poa sana atakujibu!
yaani mimi nichukue taarifa kutoka kwa mwaccm duni kama wewe ?
Wapi niliposema sijui sababu ?Sasa inakuwaje wewe chadema hujui sababu za kuahirishwa??
Anazeeeka vizuriNdugu wana jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini. Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa ccm kwa kuwapigia mbunge na diwani lakini kwa urais kashaamua. Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
Bibi yako huyu huyu hapaNdugu wana jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini. Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa ccm kwa kuwapigia mbunge na diwani lakini kwa urais kashaamua. Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
Usimchukulie bibi poa mkuu maisha anayoushi huko kijijini sidhani kama unayafkia ingawa sikujuiMtembelee uone kama bado ana akili timamu. Unakaa mjini bibi akila matembele kila siku baadaye unapiga simu ukitegemea majibu ya mwenye akili timamu?