Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Mnaandaa porojo ilimje kualalisha ushindi haram hapobaadae usemacho niuongo wamchana kweupe
Kwanza kabisa wanawake wanaume rikazote wapowanahudhuria kwamapenzi makubwa kwa kiongozi wao lisu
Pili wamejiandikisha kwasababu hapo nyuma kitambulisho hichi kilitumika kusajilia laini zasim kilakijana alilazimika kukitafuta walivipata
Tatu kwenye mikutano wanafata sera hakunaburudani hatembei nawasanii kama unamaanisha sera zake niburudani kwa kukonga nyoyozawatu kupata matumaini Mapya hilosikubishii
MSITAFUTE HUJUMA KWAKUANDA UONOGO MAPEMA ILIMUHALALISHE USHINDI HARAM 2020 NI YEYE
 
Detective J, huyu kama siyo Magufuli ni Polepole au Doto James. Fuatilia threads zake utagundua hali aliyo nayo. His threads are completely out of panic. Aendelee kupambana tu....
You have a point. Sijawahi consider kusoma pattern zake. But i will.
 
Hatutaangalia kura imetoka kwa nani ila tutaangalia nani atakaeshinda kwa kura nyingi.
So kama mnaona mnalenga makundi mnaohisi yanafaida kwenu,tuacheni sisi tudeal na vijana maana hawaoni feature ndani ya ccm
Kujua wapiga kura nyingi au la angalia composition balance ya watu kwenye mikutano

Je age groups zote ziko represented almost equally? Vijana wengi wapo,watu wazima wengi wapo?

Pili jiulize gender je wasichana na akina mama wapo wengi? Hili LA muhimu sababu akina kwa sensa ndio wengi kuliko wanaume.Mikutano ikikosa wanawake wengi ni kiashiria tosha kuwa uwezekano wa mgombea kupata kura chacche ni mkubwa mno.Sababu akina mama ndio wapiga kura wengi

Lisu mikutano yake wanawake hana ambalo ndilo kundi kubwa mno ambalo ushindi ndipo upo
October 28 kura za akina mama zinaenda mpiga chini Lisu .Hiyo ni population kubwa ambayo CCM inayo tele .Ukienda mikutano ya CCM asilimia kubwa akina mama na wasichana
 
Umejaribu kuchorachora lakini umeishia kuchora visivyoeleweka! Hapa unasema wahudhuriaji ni vijana , wanawake na mabinti, alafu hapohapo unarudi unasema hakubaliki na makundi yote! Kwa hiyo vijana wa kiume, wa kike na wakina mama hawana makundi?? Akina mzee Matondo, Mayeka ,Bibi Sinde na Mzee Nyaswi kule Nyamogo nao ni vijana?? Akina mzee Mbezu, Mzee Chengula, Bibi Diana na Mama Penseo kule Sumbawanga nao ni vijana? Kina Mzee Mpombo, Mzee Nshoya , Bibi Judith, Bibi Magreth na mama Theo kule Mara nao ni vijana?? Kina Mwakabibi, mzee Afyusisye, Mwakiteleko, Mwakitwana na Mama Atupele Kule Mbeya nao ni vijana??? Hao wote ni wazee wanaowakilisha wazee wa over 80+ years wakijitokeza maelf kwa makumi elfu alafu mpayukaji anakuja na bhangi hapa eti Lissu haungwi mkono na watu wa makundi yote! Subirini hamtaamini kitakachotokea!
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
we ulikuwa unapitia vyeti vya kuzaliwa kwenye mikutano ya lissu ?ccm mbona mmekuwa hivi, kwanini hamna CCM ambaye ni nafuu kidogo
 
Umejaribu kuchorachora lakini umeishia kuchora visivyoeleweka! Hapa unasema wahudhuriaji ni vijana , wanawake na mabinti, alafu hapohapo unarudi unasema hakubaliki na makundi yote!
Nimesema mikutano yake inajaa vijana wa kiume wa kike hamna

Kwa mwezi wote wa kampeni Lisu kazunguka kuongea na wavulana ilikuwa mikutano ya kukutana na wavulana
 
1. Hii tafiti umefanyia wapi?
2. Ile kauli ya CDM wanaedit picha mmeifuta na kwa hiyo sasa hivi mnakiri 'wanafurika'?[emoji116][emoji116]

Hii age group ipo kwenye range ya kupiga kura kwa hiyo ni mtaji sana kwake.[emoji116][emoji116]

Wanaenda kama burudani?!
Kuna burudani gani kwenye mikutano ya Lissu? Kama hoja yako ingekuwa na mashiko, kundi hilo (20-23yrs) lingejaa kwa Meko anayezurura na wasanii kama fiesta.[emoji116][emoji116]

Hebu toa maoni kuhusu makundi haya kwenye kampeni za Meko, je ni wapiga kura?[emoji116][emoji116]

View attachment 1586433View attachment 1586435
Kiukweli hii inasononesha, kutumia wanafunzi kimabavu, kwenye mikutano ya kisiasa siyo haki!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Meko kakosa kibali angani, ardhini na kwenye maji.
Kiukweli hii inasononesha, kutumia wanafunzi kimabavu, kwenye mikutano ya kisiasa siyo haki!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Wale wanaoenda kwa Jiwe hawajafikisha hata miaka 13 alafu wanakaa mbele
 
Unachopaswa kujua ni kwmba kuna kundi fulani linaisha na hilo kundi unaloliongelea linakuja unawaza nini 2030.
 
Nimesema mikutano yake inajaa vijana wa kiume wa kike hamna

Kwa mwezi wote wa kampeni Lisu kazunguka kuongea na wavulana ilikuwa mikutano ya kukutana na wavulana
Mkuu jaribu kutumia miwani, yawezekana una tatizo la macho! Mikutano yote huko nilikokutajia na hata Moshi wanafurika waze kwa vijana, kina mama kwa mabinti mpaka wanafunzi wa shule na vikongwe! Tena hawasombwi kwa mabasi na malori!
 
Mwisho wa siku mkizingua kutuletea tena CCM Namba tutaisoma sote kama ilivokuwa 2015-20
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
Na hawa 2015 walikua na umri gani?

Screenshot_20200928-225946.jpg
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Unafahamu kundi lenye idadi kubwa ya watu Tanzania ni vijana wa umri uliotaja? Unafahamu mabadiliko popote pale vuguvugu lake limeanzia kwa vijana? Mwaka 2015 CHADEMA ilivuna zaidi kura za hili kundi, ndiyo wengi wenye mwamko kwa sasa kupigania HATMA yao.
 
Umejaribu kuchorachora lakini umeishia kuchora visivyoeleweka! Hapa unasema wahudhuriaji ni vijana , wanawake na mabinti, alafu hapohapo unarudi unasema hakubaliki na makundi yote! Kwa hiyo vijana wa kiume, wa kike na wakina mama hawana makundi?? Akina mzee Matondo, Mayeka ,Bibi Sinde na Mzee Nyaswi kule Nyamogo nao ni vijana?? Akina mzee Mbezu, Mzee Chengula, Bibi Diana na Mama Penseo kule Sumbawanga nao ni vijana? Kina Mzee Mpombo, Mzee Nshoya , Bibi Judith, Bibi Magreth na mama Theo kule Mara nao ni vijana?? Kina Mwakabibi, mzee Afyusisye, Mwakiteleko, Mwakitwana na Mama Atupele Kule Mbeya nao ni vijana??? Hao wote ni wazee wanaowakilisha wazee wa over 80+ years wakijitokeza maelf kwa makumi elfu alafu mpayukaji anakuja na bhangi hapa eti Lissu haungwi mkono na watu wa makundi yote! Subirini hamtaamini kitakachotokea!
+ Maria nyerere
 
Kwa hiyo MNA deal na vijana wa kiume tu? Vijana wasichana hawako kwenye mikutano yenu na wasichana kitakwimu ni wengi kuliko vijana wa kiume
Hao watapiga kura kwa influence ya boyfriend zao,so sisi tunadeal na mtu ambae akielewa anaconvice mademu zake watatu + na wazazi jumla kura 6,kwahiyo kila unaemuona pale mkutanoni multiply by six.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
Mtaimba kila wimbo raundi Hii.
Ila nilichokiona Jana moshi wakati naelekea Arusha hao unaosema wamama ndo wengi barabarani
 
Back
Top Bottom