Nshakupa majibu,
Kampeni Ni siyansi,hilo kundi sisi tunalichukua pasi na kutumia gharama kubwa,ukimchukua Mume na mke nae wako tuu.

Kwani lowasa si alinunuliwa yeye lakini mke wake nae akamfuata?
 
Acha uzandiki wewe! Hebu onyesha hapo wavulana ni wepi?
 
Bora CDM 18-23...CCM wanachukua hadi vitoto vya chekechea wakashangae mafundo ya Mond
Mbeya jana
 

Mwanzo mlikuwa mnasema hana watu, ikaonekana hiyo haifai, sasa hivi imebidi propaganda yenu ibadilike kuwa ni vijana wasiopiga kura. Ile idadi yenu ya kupika ya wapiga kura 29m+ itawatokea puani safari hii. Shubamiit.
 
Na wanakataliwa kwelikweli hadi huko vijijini sema habari hazirushwi tuu

.
Your browser is not able to display this video.
 
Mbali na hivyo tu sheria ya vyama vya siasa inazuia kutumia watoto kwenye shughuli za kisiasa sema kwa sababu ni ccm wako exempted na sheria hiyo.
 
Vijana wadogo ni asilimia 70 ya watanzania wote na ushindi wa Lissu ni huo 70%. Asante kwa kikiri mafuriko CDM. CCM wana kesi ya kuwalazimisha watoto wa chekechea kwenda kwenye mikutano ya siasa.
 
Wenye mamlaka ya kumchagua rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni nani?
Watanzania watachagua Rais ila siyo huyoo jamaa yenu. Wee fuatilia comed zake tu hasa akiwa anahutubia, halafu niambie kama kweli unaweza dhani ni mgombea uraisi. Yaanii kiufupi hakuna mwenye akili timamu atamchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…