ahaaa aliwashika pabaaya mmegundua kuwa baada ya kumfungia mmemuongezea umaarufu zaidi...jarubuni tena kama mnaweza
 
Lissu pamoja na udhaifu wake nilimhurumia kupigwa risasi

Ila kupigwa risasi sio kigezo cha kupigiwa kura
Bakora zipo pale pale, hatuwezi kumpigia kura mtu ambaye hatujamwamini wala hajaonyesha kwamba anaweza kuongoza
Shetani aliye Mpiga risasi ana mshauri
 
Maamuzi ya kumpigia Lisu kura tulishayafanya toka kwenye matibabu. Hata asingepiga kampeni kabisa bado angepata kura zetu.
 
Ni laana kumpigia kura msaliti wa Nchi

Namwomba Mungu atuepushe Watanzania na hii dhambi

Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Kufikia oktoba 28 ufahamu utakuwa umekurudi na utampigia kura Mhe.Lissu. Nafsi inazidi kukusuta kupingana na mpango wa Mungu.
#UhuruHakiMaendeleoYaWatu
 
Magufuli ni kama aliteremshwa na Mungu kuja kuikomboa Tanzania
 
Mkuu ni kweli lissu anatia huruma

Ila hii haimanishi tutampigia kura lissu, hapana kwenye kura hakuna huruma kichapo kipo pale pale

Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Maamuzi ya kumpigia Lisu kura tulishayafanya toka kwenye matibabu. Hata asingepiga kampeni kabisa bado angepata kura zetu.
 
Badala umshauri kichaa wenu unajipendekeza kwa kipenzi cha watanzania wapenda haki, maendeleo, amani, uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa watanzania
 
Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Badala umshauri kichaa wenu unajipendekeza kwa kipenzi cha watanzania wapenda haki, maendeleo, amani, uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa watanzania
 
Akicheza vibaya tu tunamuengua, hata kwenye karatasi za kura hatuchapishi jina lake
 
Ni laana kumpigia kura msaliti wa Nchi

Namwomba Mungu atuepushe Watanzania na hii dhambi

Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Mwenge HAUJAKIMBIZWA SADAKA hamjatoa...mnashindana na aliyepigwa risas 16
 
Kwa hiyo kama mwenge haujakimbizwa ndio mtashinda Uchaguzi [emoji3][emoji3][emoji3] Wasaliti wa Nchi bwana ndio mnaaminishana hivyo teh teh

Kipigo cha October kipo pale pale, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Mwenge HAUJAKIMBIZWA SADAKA hamjatoa...mnashindana na aliyepigwa risas 16
 
Lissu pamoja na udhaifu wake nilimhurumia kupigwa risasi

Ila kupigwa risasi sio kigezo cha kupigiwa kura
Bakora zipo pale pale, hatuwezi kumpigia kura mtu ambaye hatujamwamini wala hajaonyesha kwamba anaweza kuongoza
Tumia neno siwezi, sio hatuwezi.Hata kama kuna watu wamekuambia hawatampigia kura Lissu, wanakucheki uwezo wako wa kufikiri.
 
Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Tumia neno siwezi, sio hatuwezi.Hata kama kuna watu wamekuambia hawatampigia kura Lissu, wanakucheki uwezo wako wa kufikiri.
 
Kamshauri jiwe waache kuongea kiingereza pori.

Zaidi sana kamshauri manoti amfungie Lissu tena.

Karibu tutaelewana tu.
 
Akikiuka taratibu Atafungiwa tu

Taratibu haramu zitakiukwa tu kama ambavyo vyote haramu ikiwamo uchaguzi haramu. Hakuna kuvumilia haramu tena.

Habari ndiyo hiyo kawaambie wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…