ccm mmekalia ncha ya mkuki, huko ndani tunasikia polepole atafutwa nafasi yake mana bwana pombe anasema mlimdanganya kua upinzani haupo kwamba ataserereka tu uchaguzi huu
watanzania wamechoka na unyanyasaji na kuwafanya wajinga
kwisha habari yenu...ccm inaenda KUFA..watanzania wameamka...hawataki maendeleo ya VITU....wanataka maendeleo ya WATU ...Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Mtaweweseka lkn Wasaliti wa Nchi hatuna huruma na nyie
kwisha habari yenu...ccm inaenda KUFA..watanzania wameamka...hawataki maendeleo ya VITU....wanataka maendeleo ya WATU ...
Watanzania sio WAPUMBAVU au wasio na elimu kwa sasa..hicho kizazi kilishakufa mana ndicho kilikua mtaji wenu, hata uchaguzi uliopita hamkushinda sema tu mlitumia nguvu ila kwa sasa patachimbika, narudia watanzania wa sasa wanataka maendeleo yao na sio maendeleo ya vitu kuwadanyanya ndege na SGR.Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Watanzania sio WAPUMBAVU au wasio na elimu kwa sasa..hicho kizazi kilishakufa mana ndicho kilikua mtaji wenu, hata uchaguzi uliopita hamkushinda sema tu mlitumia nguvu ila kwa sasa patachimbika, narudia watanzania wa sasa wanataka maendeleo yao na sio maendeleo ya vitu kuwadanyanya ndege na SGR.
Factors led to the fall of ccm gang kingdomAssassination of Akwilina.
Influx of massive unemployment*
Assassination attempt to opposition figure Tundulissu*
kidnapped which occurs in five yrs
Nec ikiteleza kidogo tu tukaidhibiti. Magufuli akalale chato tar 30 octoberHawez kua Rais Magufuli atamgalagaza asubuhi namapema
Jpm mnyonyaji na fisadi lililokubuhu.Am not lying, let us wait and see.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Mkuu ni kweli lissu anatia huruma
Ila hii haimanishi tutampigia kura lissu, hapana kwenye kura hakuna huruma kichapo kipo pale pale
Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Basi wewe pungutwo!Unaona ulvyo punguani mwaka huu mnalo kawashika pabaya sana
mzee wa bia, mbona unakwepa kwepa...umeweka mtalimbo kwenye neno usaliti tu ..narudia kusema watanzania wale ambao walikua mtaji wenu wale ambao ni ignorant hawapo hicho kizazi kinapotea, wewe ni wale mabaki mabaki ambayo ndio hua mnalindwa na elfu sabaWatanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Tunasubiri kwa hamu mmfungie.Akikiuka taratibu Atafungiwa tu
Tunasubiri kwa hamu mmfungie.
Lissu hana hoja ana malalamiko tu kede kede. HaelewekiHoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.