Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Mtaweweseka lkn Wasaliti wa Nchi hatuna huruma na nyie
ccm mmekalia ncha ya mkuki, huko ndani tunasikia polepole atafutwa nafasi yake mana bwana pombe anasema mlimdanganya kua upinzani haupo kwamba ataserereka tu uchaguzi huu
watanzania wamechoka na unyanyasaji na kuwafanya wajinga
 
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Mtaweweseka lkn Wasaliti wa Nchi hatuna huruma na nyie
kwisha habari yenu...ccm inaenda KUFA..watanzania wameamka...hawataki maendeleo ya VITU....wanataka maendeleo ya WATU ...
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

kwisha habari yenu...ccm inaenda KUFA..watanzania wameamka...hawataki maendeleo ya VITU....wanataka maendeleo ya WATU ...
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Watanzania sio WAPUMBAVU au wasio na elimu kwa sasa..hicho kizazi kilishakufa mana ndicho kilikua mtaji wenu, hata uchaguzi uliopita hamkushinda sema tu mlitumia nguvu ila kwa sasa patachimbika, narudia watanzania wa sasa wanataka maendeleo yao na sio maendeleo ya vitu kuwadanyanya ndege na SGR.
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike

Mkuu ni kweli lissu anatia huruma

Ila hii haimanishi tutampigia kura lissu, hapana kwenye kura hakuna huruma kichapo kipo pale pale

Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Inaonekana nchi kwako ni kumsujudia Magufuli.
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
mzee wa bia, mbona unakwepa kwepa...umeweka mtalimbo kwenye neno usaliti tu ..narudia kusema watanzania wale ambao walikua mtaji wenu wale ambao ni ignorant hawapo hicho kizazi kinapotea, wewe ni wale mabaki mabaki ambayo ndio hua mnalindwa na elfu saba
watanzania watamchagua LISSU ambaye ataleta maendeleo ya watu..bora msaliti kuliko jizi
 
Kesho raha, raha, raha tena. Tundu Lissu anarejea kwenye uwanja wa kampeni baada ya kusimama kwa siku 7.

Huyu kipenzi cha watu, mkombozi wa watanzania, na mbeba maono wetu anarudi tena kutuliza na kukonga nyoyo za watanzania hapo kesho.

#Ni Yeye2020.
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
Lissu hana hoja ana malalamiko tu kede kede. Haeleweki
 
Kama kamati ya kampeni ingekuwa makini mkutano wa leo usingefanyika kwenye viwanja vya Stendi ya Ikungi , ni sehemu ndogo ambayo haifai kutumiwa na mgmbea mzito na mwenye utitiri wa wapiga kura kama huyu .

Tuwe makini ili tusije kusababisha maafa ya watu kukanyagana , huyu Lissu si mtu wa kawaida , mvuto wake ni wa enzi za mitume .

Angalia hapa wananchi walivyobanana , hii ni hatari sana

Subpost 3 - Mkutano wa Kampeni  wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanza ( 360 X 640 ).jpg
 
Leo Tundu Lissu akiwa Ikungi amesema kuwa jumanne ya wiki ijayo ataenda Chato kufanya mkutano wa kampeni na ameahidi kuutembelea uwanja wa ndege Chato.

Aidha Lissu ametoa rai kwa watu wa Chato kumuandalia majibu kama wananufaika na uwanja huo moja kwa moja au la.
 
Back
Top Bottom