Wala hata asiende. Tushaelewa ujinga uliofanywa na john, hivyo tutamshugjulikia 28)10/2020. Lisu aendelee kutafuta kura maeneo ambayo hajakqnyaga hadi leoKabla ya kutoa taarifa hii naomba kupeleka rasmi malalamiko yangu kwa mods kuwa mabandiko yangu humu jamvini kwa siku takribani tatu sasa yanawekwa kapuni bila kuonekana kwa wana Jamii forum.
Sasa niende kwenye mada.
Leo Tundu Lissu akiwa Ikungi amesema kuwa jumanne ya wiki ijayo ataenda Chato kufanya mkutano wa kampeni na ameahidi kuutembelea uwanja wa ndege Chato.
Aidha Lissu ametoa rai kwa watu wa Chato kumuandalia majibu kama wananufaika na uwanja huo moja kwa moja au la.
We huoni?Tatizo nini
Umejiunga September,2020 (Mwezi uliopita) Wewe si mwanaCHADEMA. pengine wewe ni ndugu Bia yetu.Mpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.
Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.
Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
Kiwewe mkuuMpaka sasa nawaza jamaa aliwaza nini kusema jukwaani "sugu naomba unisugue kweli kweli".
Mbona mnatuchanganya
Rangi yako tunaijuaMpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.
Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.
Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
Mpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.
Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.
Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
Kama kusema kweli ni uduwanzi sawa kamanda,ila kumbuka ukweli unakuweka huru.Hii id umeifungua mwezi uliopita huko ccm ukiigiza ni mwanacdm, kwa mbinu hizi nimejua kweli ccm ni chama chenye mawazo ya kizee. Kwahiyo kwa akili yako umeona unaweza kuhadaa magreat thinker kuwa ww ni mwanacdm? Uzuri inafahamika kuwa hakuna mwanacdm duwanzi.
Mpigie simu Polepole.Jana CCM walifanya kampeni wapi?
Kujiunga September kuna uhusiano gani na kusema kweli? Bia yetu ndio nani?Umejiunga September,2020 (Mwezi uliopita) Wewe si mwanaCHADEMA. pengine wewe ni ndugu Bia yetu.
MbavuMpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.
Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.
Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
Kamanda zimebaki wiki mbili tu,tutavuna aibu kubwa,tujipange na kufanya mabadiliko ya chama chetu.Ukishaona neno "Chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki dhaifu kutoka chama mfu-CCM.
Ukishaona hivyo jua kamanda asiyechoka kutoka CCM alienda kujipanga upya na sasa amerudi na nondo dhaifu mpya za propaganda kutoka CCM.Sasa hivi siyo ajabu kuona akishusha hizi nondo dhaifu mfulilizo