Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kabla ya kutoa taarifa hii naomba kupeleka rasmi malalamiko yangu kwa mods kuwa mabandiko yangu humu jamvini kwa siku takribani tatu sasa yanawekwa kapuni bila kuonekana kwa wana Jamii forum.

Sasa niende kwenye mada.
Leo Tundu Lissu akiwa Ikungi amesema kuwa jumanne ya wiki ijayo ataenda Chato kufanya mkutano wa kampeni na ameahidi kuutembelea uwanja wa ndege Chato.

Aidha Lissu ametoa rai kwa watu wa Chato kumuandalia majibu kama wananufaika na uwanja huo moja kwa moja au la.
Wala hata asiende. Tushaelewa ujinga uliofanywa na john, hivyo tutamshugjulikia 28)10/2020. Lisu aendelee kutafuta kura maeneo ambayo hajakqnyaga hadi leo
 
Mpaka sasa ni wazi kuwa CHADEMA tumeshindwa vibaya sana.

Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.

Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe Mwenyekiti, Mnyika asiwe Katibu Mkuu, tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
 
Huku wengine wakiwa tayari wamekata pumzi wakitegemea kudra za Jamana Printers , CHADEMA inaendelea kusonga mbele kwa kuishambulia nchi kama wafanyavyo siafu.

Mgombea mwenza wa Urais wa CHADEMA Mh Salum Mwalimu leo atafika kwenye Majimbo ya Kyela na Ileje kuomba kura na kunadi sera za chama hicho .

Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika

Hio  kyela naijua, najua itasimama Kesho. ( 640 X 640 ).jpg

=======
 
Mpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.

Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.

Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.
Umejiunga September,2020 (Mwezi uliopita) Wewe si mwanaCHADEMA. pengine wewe ni ndugu Bia yetu.
 
If we want truth and justice to rule our Nation, there must be no hypocrisy.

Bila unafiki, jamaa kazungumza kitu chenye ukweli ndani yake.

Chadema inabidi wajipange kwa miaka mingine ijayo ya uchaguzi.
 
Mpaka sasa ni wazi kuwa Chadema tumeshindwa vibaya sana.

Kupata wabunge na madiwani itakuwa mbinde.

Tunatakiwa tujipange upya,Mbowe afurushwe asiwe mwenyekiti,Mnyika asiwe katibu mkuu,tunataka damu mpya kwa kizazi kipya.

Hii id umeifungua mwezi uliopita huko ccm ukiigiza ni mwanacdm, kwa mbinu hizi nimejua kweli ccm ni chama chenye mawazo ya kizee.

Kwahiyo kwa akili yako umeona unaweza kuhadaa magreat thinker kuwa ww ni mwanacdm? Uzuri inafahamika kuwa hakuna mwanacdm duwanzi.
 
Hii id umeifungua mwezi uliopita huko ccm ukiigiza ni mwanacdm, kwa mbinu hizi nimejua kweli ccm ni chama chenye mawazo ya kizee. Kwahiyo kwa akili yako umeona unaweza kuhadaa magreat thinker kuwa ww ni mwanacdm? Uzuri inafahamika kuwa hakuna mwanacdm duwanzi.
Kama kusema kweli ni uduwanzi sawa kamanda,ila kumbuka ukweli unakuweka huru.
 
Ukishaona neno "Chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki dhaifu kutoka chama mfu-CCM.

Ukishaona hivyo jua kamanda asiyechoka kutoka CCM alienda kujipanga upya na sasa amerudi na nondo dhaifu mpya za propaganda kutoka CCM.Sasa hivi siyo ajabu kuona akishusha hizi nondo dhaifu mfulilizo
 
Kamanda zimebaki wiki mbili tu,tutavuna aibu kubwa,tujipange na kufanya mabadiliko ya chama chetu.
 
Hawa wanawaandaa watu kisaikolojia na wizi wa kura

Back
Top Bottom