Kampeni zinaenda kwa ngazi shehe. Mwanzo ilikuwa ngazi ya kanda, sasa ni ngazi ya majimbo. Kwa maana hiyo Dar bado sheikh. Tuliza mzuka, Tundu Lissu atakuponesha hicho kiharusi, au Stroke kwa lugha ya mabeberu
Kurudia rudia mikoa ni ishara ya kukosa mikakati ya kueleweka ,

Chadema wako very disorganized.

Lakini ukiwaambia ukweli watakataa, jambo ambalo tena nalo ni baya kukataa criticism.
 
Lakini tuache utani Lissu ni mtambo mgumu sana, suluba zote hizo haonyeshi hata kuchoka.
Mikutano haina burudani zaidi ya yeye kuwa burudani hapohapo msemaji mwanzo mwisho

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Lissu ni mpango wa Mungu

binadamu wa kawaida hawezi kufanya anayofanya lisu,hata jiwe ameshachemka

kichinjio changu nakipeleka kukinoa kwa maombi kuanzia jumapili hii hadi uchaguzi nichinje kimtelezo
 
Lakini tuache utani Lissu ni mtambo mgumu sana, suluba zote hizo haonyeshi hata kuchoka.
Mikutano haina burudani zaidi ya yeye kuwa burudani hapohapo msemaji mwanzo mwisho

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mimi nilijiapiza huyu hamalizi kampeni. Kwanza ametoka kuugua na kushinda ndani muda mrefu, watu wa aina hii huwa hawana kinga imara. Pili amelemaa, sikujua Kama angehimili kampeni kiasi hiki.
 
Mimi nilijiapiza huyu hamalizi kampeni. Kwanza ametoka kuugua na kushinda ndani muda mrefu, watu wa aina hii huwa hawana kinga imara. Pili amelemaa, sikujua Kama angehimili kampeni kiasi hiki.
Kiukweli hata mm nilipoona chopa imeletewa figisu nikajua huyu kwisha habari yake. Kumbe loooh!!!
 
Kuna uwezekano akafunika mikoa yote,
Halafu kabakiza mikoa 6 tuu maana Pwani alishaenda siku ya kwanza labda Bagamoyo na rufiji
 
Mimi nilijiapiza huyu hamalizi kampeni. Kwanza ametoka kuugua na kushinda ndani muda mrefu, watu wa aina hii huwa hawana kinga imara. Pili amelemaa, sikujua Kama angehimili kampeni kiasi hiki.
Hata mimi sikutegemea anaweza kufanya kampeni akiwa amesimama.
Mambo ya ajabu aliyonayo Lissu.
1. Haonyeshi kujisikitikia
2. Tangu akiwa hosp alijaa tabasamu
3. Hakukatishwa tamaa kwa jaribio la mauaji

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
MAMBO MATATU YA KUOGOPESHA NA YA KUTISHA KUTOKA KWA TUNDU LISSU: [emoji15]

1. Aliamriwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi aende akaripoti kituo cha Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, lakini hakwenda na wakamuacha.

2. Aliandikiwa barua ya kuripoti Police Central Dar es salaam, akawajibu barua ya kuitwa Polisi siyo barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria na inatakiwa iandike kosa nililofanya. Kwa hiyo hakwenda, na wakagairi kumuita wakamuacha.

3. Alikuwa anaenda Kibaha, Polisi Mkoa wa Pwani wakazuia njia, akasema haondoki na atalala hapo hapo, na wao wakasema watakesha naye. Lakini ilipofika saa 2 usiku, wakafungua njia, wakamuacha akaendelea na ratiba zake.

Haya mambo hata Mo-Dewji na Pesa zake hawezi kufanya, vipi kuhusu mimi na wewe? Dadeki. [emoji23][emoji28]
 
Vijana ndio wapiga kura, wanafuata sera siyo fiesta. Tukutane 28. Nyie jipangeni kuchakachua.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilijiapiza huyu hamalizi kampeni. Kwanza ametoka kuugua na kushinda ndani muda mrefu, watu wa aina hii huwa hawana kinga imara. Pili amelemaa, sikujua Kama angehimili kampeni kiasi hiki.
Huyu ndiye angefaa kujiita jiwe[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Zile siku 7 zilikuwa na athari sana aisee
Momentum ilikua kubwa mnoo nadhani kma wasingemfungia angemfuta kabisa Magufuli kwenye ramani kwa knockout blow.

Kikubwa hapa wabadili ratiba mfano sikuona haja ya kurudi Dodoma ilihali eneo kma Mtwara na Lindi ambako kuna kura za hasira hajafika.

Alafu vyama ambavyo havifanyi kampeni vingepigwa fine. Maana unakuta akitaka kwenda wanadai kuna mgombea wa NRA ilihali hana mkutano!!

Hivi vyama vingefutwa vibakie walau vitano tu.
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…