Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Vipi kuhusu wagombea wetu kuenguliwa ndo imetoka ama kuna nini kinaendelea?
 
Nasikitishwa na wa Uzalendo wa TASNIA YA HABARI CHINI. Wana ripoti upande Mmoja zaidi. Tatizo nini?
 
Naam, Mambo yameiva,Nami nimekiondoa kitambulisho changu cha mpiga kura kwenye wallet na kukihifadhi sehemu muhimu,kwa ajili ya kusubiri kumpigia kura Mh. Lissu. Hayo maisha si yetu ni katusababishia Magufuli.
 
Wapikaji wa vurugu ni Lumumba wakishirikiana na jeshi Lao la police aka policcm
 
Back
Top Bottom