Naam, Mambo yameiva,Nami nimekiondoa kitambulisho changu cha mpiga kura kwenye wallet na kukihifadhi sehemu muhimu,kwa ajili ya kusubiri kumpigia kura Mh. Lissu. Hayo maisha si yetu ni katusababishia Magufuli.
Taachaje kutoroka kazini na kwenda kumsikiliza mtu anayetaka kuboresha mshahara wangu! Au nikae ofisini nimuunge mkono mtu aliyegoma kwa ujeuri kuniongezea mshahara kwa miaka 5?