Maada gani sasa? Hata wazanzibari waliona huyo ni domo kaya tu wakampuuza,
Kama anataka watu wajue historia za muungano aombe kazi za ualimu akafundishe huko madarasani,
Kwa sasa watu wanataka maendeleo na sio historia.

Jidanganyeni.

Anayesahau "haki" huyo si mwenzetu.

Anayesahau "uhuru" huyo pia si mwenzetu.

Hayapo maendeleo pasipokuwa haki wala uhuru hayo unayoyaona wewe hayana maana yoyote. Uungwaji mkono anaoupata mgombea CDM na pia Maalim Zanzibar ni kutokana na ukweli huo.

Kuchukiwa kunakomsibu mzee baba kunatokana na kukandamiza viwili hivi: haki na uhuru.

Bila ku reverse course, mwaka huu amepatikana.
 
Jana mlijificha wapi? Au bando limekata?
Mwambieni aende mara maana yeye anaenda sehemu ambayo anadhani kuna washabiki wengi
Niko Mara huku kila Jamii ni Chadema halafu huku huwezi kubeba watoto wa shule kuja kwenye kampeni. Halafu kuhusu wasanii tuna Rirandi na muziki wa Benga hatuyumbi wala kushoboka na Kina Diamond aje Tarime asikilizie
 
Ukiiona badala ya Mheshimiwa kuinadi ilani ya chama chake wakati wa kampeni, yeye anaendelea tu kwa makusudi kutoheshimu na kukiuka kanuni na maadili ya uchaguzi, ujue hali mbaya.

Matokeo ya uchaguzi ya CCM....
2005 - 80%
2010 - 61%
2015 - 58%

2020 - ??!🤭
 
Wote ukiwajumlisha hawajai kiganja cha Lisu
 
kiitikio: tumeibiwa kura
This man is exceptional and peculiar. A visionary and charismatic leader we have been waiting for along time. Every green @$$ will be kicked mercilessly.

Antipas Muigayi the green @$$ kicker
 
Hivi kwa nini Lisu toka kampeni zianze hawanadi wagombea ubunge wala udiwani wa chama chake anajinadi yeye tu

Na wao wasuse kumnadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…