Kwa hivi sasa mgombea urais anayeoonekana kuwa na nguvu za watu wazima wapiga kura ni Tuundu Lissu wa Chadema. CCC wanahaha kwa mbali, kwani kama wamepigwa shoti. Majaliwa na Samia wamejigawa kufanya mashambulizi upande mwingine lakini bro bado ana ajenda inayotafisirika. Hawa watu 3, Magufuli, Samia na Majaliwa ni kama vile Lissu anawapa darasa. Leo utawasikia wakihaha kujibu hotuba zake na kesho wakiamka wanakopi na kupesti ilani yake. Ama kweli sikio la kufa...........
Tukirejea kwenye media, utawasikia watangazaji wakianza na habari za ccm na vyama vingine halafu mfalme anakuwa mwisho. Maana yake nini, ukianza na habari za Lissu basi baada ya taarifa yake watu wanasepa kutazama. Kwa maana nyingine watu wapo kumfuatilia Lissu tu. Nawasilisha