Hongera Sana Ally kwa kufikisha sms 77 tangu ujiunge JF Mwaka2015!
Kuna kitu hukumwambia mamayako kuwa hao wasanii wanaopewa heshima na Rais wamepepelekwa kwenda kuwavuta watu wasiomchague Lissu ambaye watu wanamshangaa!
VIPI tena si mlikuwa mkiponda wasanii na nyimbo zao kwenye majukwaa ya CCM YA KAMPENI? mumeanza tena kubadilika mnacheza nyimbo za wasanii mikutano ya kampeni?
CHADEMA HOPELESS
Pili chama cha hati miliki Tanzania kikakusanye pesa Chadema SABABU huo wimbo una hati miliki COSOTA MKO WAPI? PUBLIC show hiyo mkakusanye chenu
Hakuna mgombea aliyezomewa,Kuna mtu fulani akilala anaota watu wanamzomea.
cheki hapo mama Samia alikuwa Temeke mwembe yanga kwa kampeni ona umati hapo ni watu wa jimbo la temeke tuMagufuli akija Dar watasombwa watu kutoka Maneromango, Msanga na Bungu kuja kujaza viwanja maana itakuwa aibu kwanza watu tuko bize na Lissu..Otherwise wavunje kibubu wamlete Drake!
Kweli hakika. Tuhamasishane, tuwashawishi ndugu , jamaa na marafiki tukampigie kura kwa wingi iyo tarehe 28 October. Na kikubwa tulinde kura zetu kwa namna zote. Kuanzia mikoa ya chini ya Tanzania Ruvuma, Mtwara na mikoa yote hadi juu ya Tanzania mikoa ya Kagera, kigoma, Mwanza, Mara na Arusha, watu tuhamasishane, vijijini na mijini tukampigie kura kwa wingi huyu shujaa aliyeletwa kwetu na MunguSio siku moja ni 28 oct 2020✌✌✌✌😎💪