Cretin at his best, 🤣 🤣
 
Trust None maendeleo ya miundombinu kama barabara sio sera ya Chadema,sera ya Chadema ni maendeleo ya watu kwanza alafu hiyo barabara ya Lusaunga Ngara baadae sana mpaka kwanza watu wapate maendeleo.
 
Mwaka huu Gharama inayotumiwa na Chama chetu kwenye uchaguzi huu inapaswa iendelee kuwa Siri.. itakuwa ni hatari ikiwekwa hadharani.. Swali litakuwa zimepatikana vipi?
Kwa ujumla mpinzani wetu ametuzidi.
 
Mil 50 ziichanganye cdm?
 

Wanasubiri aanguke ( ashindwe ) vibaya kisha waanze Kumcheka na hata Kumdihaki vile vile.
 
Ni mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
Maelezo haya ni hafifu sana ! Semeni ukweli, what is going on behind the curtains ?????
 
Wana muonea Jiwe huruma. Maana mapambano yakianza kila upande lazima asahau kuamka
 

Hapo kwenye mawakala ndio pana umuhimu mkubwa sana. Baada ya sarakasi ya kuwaengua wapinzani sasa sarakasi kubwa kabisa ni kuhujumu kwenye mawakala. Umakini unahitajika sana
 
TL mmoja ni sawa na viongozi 1000 wa CCM. Kwa hiyo anatosha. Waache wengine wafanye shughuli zingine mhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…