Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kuna Mgawanyiko Mkubwa ndani ya CDM kutokana na Maswala ya Fedha. Ni kweli hawako stable kwenye maswala ya kiuchumi lakini zile 50M bado inazidi kuwachanganya.
Mbowe kapiga pesa ndio Maana kampeni zao zinasuasua ,Kubwa zaidi kuliko hilo ni maelewano Mabaya kati ya Lissu na Mbowe.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CDM ,Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe alikua hataki Lissu apate nafasi ya kuwa mgombea kupitia chama chake.
Hili litazidi kuwatafuna hadi pale watakapo kaa chini na kuamua kuweka mambo sawa ila kwa kipindi hiki hawataweza,lazima wapoteze uchaguzi huu.
Cretin at his best, 🤣 🤣
 
Trust None maendeleo ya miundombinu kama barabara sio sera ya Chadema,sera ya Chadema ni maendeleo ya watu kwanza alafu hiyo barabara ya Lusaunga Ngara baadae sana mpaka kwanza watu wapate maendeleo.
 
Mwaka huu Gharama inayotumiwa na Chama chetu kwenye uchaguzi huu inapaswa iendelee kuwa Siri.. itakuwa ni hatari ikiwekwa hadharani.. Swali litakuwa zimepatikana vipi?
Kwa ujumla mpinzani wetu ametuzidi.
 
Kuna Mgawanyiko Mkubwa ndani ya CDM kutokana na Maswala ya Fedha. Ni kweli hawako stable kwenye maswala ya kiuchumi lakini zile 50M bado inazidi kuwachanganya.
Mbowe kapiga pesa ndio Maana kampeni zao zinasuasua ,Kubwa zaidi kuliko hilo ni maelewano Mabaya kati ya Lissu na Mbowe.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CDM ,Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe alikua hataki Lissu apate nafasi ya kuwa mgombea kupitia chama chake.
Hili litazidi kuwatafuna hadi pale watakapo kaa chini na kuamua kuweka mambo sawa ila kwa kipindi hiki hawataweza,lazima wapoteze uchaguzi huu.
Mil 50 ziichanganye cdm?
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.

Wanasubiri aanguke ( ashindwe ) vibaya kisha waanze Kumcheka na hata Kumdihaki vile vile.
 
Ni mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
Maelezo haya ni hafifu sana ! Semeni ukweli, what is going on behind the curtains ?????
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Wana muonea Jiwe huruma. Maana mapambano yakianza kila upande lazima asahau kuamka
 
Tundu Lissu anajimudu pakubwa sana.
Anauwezo mkubwa wa kujenga Hoja.
Ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Anaakili nyingi sana.

Hana haja ya kusemewa wala kupigiwa debe anajimudu Mno.
Yeye si kama Lowasa asiyejiweza kabisa jukwaani.

Mbowe yupo buzy na shughuli za kujenga chama.
Kuweka mikakati ya ushindi.
Kuongeza raslimali ndani yachama.
Kufuatilia mwenendo wa chama.
Kuandaa vijana na mawakala kuhakikisha CHADEMA haiibiwi kura hata moja.

Hapo kwenye mawakala ndio pana umuhimu mkubwa sana. Baada ya sarakasi ya kuwaengua wapinzani sasa sarakasi kubwa kabisa ni kuhujumu kwenye mawakala. Umakini unahitajika sana
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
TL mmoja ni sawa na viongozi 1000 wa CCM. Kwa hiyo anatosha. Waache wengine wafanye shughuli zingine mhimu.
 
20200919_173148.jpg
 
Back
Top Bottom