Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Kama Tume itamrudisha basi tutegemee Hali mbaya. Ana hasira na watu fulani vibaya mno....!!
 
Mikataba ya madini ipo wapi kwani?
 
Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo utajua kumbe Maharage nayo ni mboga!!
 
Lissu anawagusa wanyonge, anasema apewe tu dhamana na atawalinda Watanzania yasiwapate yaliyompata yeye.
Mbinu yake kubwa ya jiwe ili apate kura za kutosha ni zile kauli zake za kutopeleka maendeleo ya aina yoyote endapo atakayechaguliwa pale ni toka chama pinzani.
Wananchi waoga wengi wanaamua kumpigia kura tu. Ila kiuhalisia hapendwi bwana jiwe.
 
Hapa kwenye sukari panahitaji majibu ya kina.... Ya kueleweka...
 
Mbinu yake kubwa ya jiwe ili apate kura za kutosha ni zile kauli zake za kutopeleka maendeleo ya aina yoyote endapo atakayechaguliwa pale ni toka chama pinzani.
Wananchi waoga wengi wanaamua kumpigia kura tu. Ila kiuhalisia hapendwi bwana jiwe.
Lissu anachofanya ni kuwatoa wananchi woga. Anakopita Lissu anauwa kabisa matumaini ya Magufuli.
 
Lissu akichukua nchi aanze na vyombo vya ulinzi kuvinyoosha kwanza maana vimeharibu nchi pakubwa hapa Mabeyo,Diwan na Siro wawe mfano maana wao wametusaliti sisi wananchi.
 
Kuna watu baada ya oktoba, 28 watapata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo presha na sukari.

Et mtu na akili zake timamu anaamini kabisa Lissu atakuwa Rais wa JMT , nasema hivi Lissu siyo tu hawezi kuwa Rais bali hawezi kufikisha hata 5% ya kura atakazozipata Magufuli.

Video nyingi zinazowekwa mtandaoni zikionyesha Lissu kupata mapokezi makubwa ni edited mfamo mzuri Jana mkoa wa Kagera ule ameshindwa kabisa kuujaza uwanja wa Gymcana, bado hata leo Katoro Geita amepata mapokezi kiduchu kweli.
 
Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo utajua kumbe Maharage nayo ni mboga!!
Nakwambia baada ya tarehe hiyo kuna watu watalazwa baada ya kukosa wabunge hata 10 nakwambia Bukoba uwanja wa Gymcana kulikuwa na watu wachache sana lakini edited picha zinazosambaa mtandaoni ni tofauti kabisa.
 
Tarehe 3 na sisi ACT wazalendo tutatangaza kumuunga mgombea wenu chadema Bwana Tundu Lissu. Shikamoo Maalim Seif Sharif
Magufuli siyo wa mchezo mchezo angalia jamaa pumuzi imekata tayari.
 
Nilisema tokea mwanzo .Membe una sifa zote za kuwa raisi lakini mpishe Lissu kwa sababu Magu akupata mtu soft angemnyanyasa
Kweli kabisa. Lissu kabadirisha upepo kabisa wa siasa Tanzania Aisee. Nilichokiona leo Geita sasa nimeamini Magufuli ni Raisi Mstaafu kuanzia hapo mwezi November 2020.

Lissu ni moto kwa kweli.

Ni yeye🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…