mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Hawatomfuata Lissu, Lissu walikosea timing akawaponyoka, kilichopo sasa ni kuigawa Chadema, kete pekee ambayo yenye mashiko itabidi irudi ile ya katiba/tume huru/kumpunguzia raisi madaraka. Wao watajikita zaidi na Mbowe. Watatumia watu wa Zamani ili kuokoa jahazi kwa hoja hizo.hiv jamaa unamjua kwel asee....hawez ruhusu hivyo...kibur hasa
Sent from my SM-J500FN using JamiiForums mobile app
Watatangaza hata kwa bakoraTatizo kutangazwa.
Haha yeye si one man show?😂 akawatenga wakongwe wa siasa za chama chake😂. Alijua mbinu yake ya kununua wapinzani na kuvizima vyama pinzani na kuwaondoa wale wenye misimamo isiyoyumba itatengeneza wingu la hofu, kutokupingwa na kuendelea kula kuku kwa mrija, akiamua nini kifanyike nini kisifanyike. Asiyempenda amefufuka, mwiba umeshindwa kukatwa na sasa unachoma palepale😂😂😂😂Ndio maana nakwambia njia pekee ya kumpunguza makali Lissu ni kumzunguka.
Njia inayotumika kwa sasa haimtishi kwa sababu hana cha kupoteza.
Ila all in all CCM wamechemsha kwenye kila kitu, hata watu ambao wangetumika kumzunguka TL (Kinana, Makamba, JK) waliwekwa pembeni wakidhalilishwa, wakakebehiwa n.k
Anyway siku zimebaki chache tusubiri tuone.
Unafahamu hata uwezo wa Lissu darasani? Unajua shule alizosoma zinasifa gani?
Waulize majaji na mahakimu juu ya uwezo wa huyu mtu,kisha uondoe hapa matakataka yako.
Mkuu hizo ni ndoto tu JPM kama kawaid anashida tena kwa kishindo kaaa utulie uoneKama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana
HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Jamani, mbona mtamua mzee was watu!!Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana
HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
ANAVUNA ALIYOPANDA. AMEPANDA CHUKI, UONEVU, UBAGUZI, UBABE, UKATILI, NA MATESO KWA WANYONGE. NDIYO SERA YAKE YA WATU WAISHI KAMA MASHETANI NA KULIMIA MENOJamani, mbona mtamua mzee was watu!!
Hata sisi wanajeshi alitukutana na maduka yetu ya free duty akayafuta yote Nchi nzima nakusababisha maisha yetu kuwamagumu tuna jambo letu 28Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana
HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Duuh balaa, jaman ni hatar, unasema Sasa ni fizi maana meno hayapo, hapo na kuunga mkono ya kumfanyia surprise.Umepiga mlemle kabisa.Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana
HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Labda atashinda njaaMkuu hizo ni ndoto tu JPM kama kawaid anashida tena kwa kishindo kaaa utulie uone
Safi sanaHata sisi wanajeshi alitukutana na maduka yetu ya free duty akayafuta yote Nchi nzima nakusababisha maisha yetu kuwamagumu tuna jambo letu 28
Watanzania tunaenda kuandika historia kuu mwaka huu itakayosomwa na vizazi na vizazi Tanzania na duniani kwa ujumla. Tunaenda kumstaafisha Jiwe siasa na Uraisi rasmi hapo October 28Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.