Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
hiv jamaa unamjua kwel asee....hawez ruhusu hivyo...kibur hasa

Sent from my SM-J500FN using JamiiForums mobile app
Hawatomfuata Lissu, Lissu walikosea timing akawaponyoka, kilichopo sasa ni kuigawa Chadema, kete pekee ambayo yenye mashiko itabidi irudi ile ya katiba/tume huru/kumpunguzia raisi madaraka. Wao watajikita zaidi na Mbowe. Watatumia watu wa Zamani ili kuokoa jahazi kwa hoja hizo.

Otherwise kutakuwa na changamoto sana baada ya uchaguzi.
 
Ndio maana nakwambia njia pekee ya kumpunguza makali Lissu ni kumzunguka.

Njia inayotumika kwa sasa haimtishi kwa sababu hana cha kupoteza.

Ila all in all CCM wamechemsha kwenye kila kitu, hata watu ambao wangetumika kumzunguka TL (Kinana, Makamba, JK) waliwekwa pembeni wakidhalilishwa, wakakebehiwa n.k

Anyway siku zimebaki chache tusubiri tuone.
Haha yeye si one man show?😂 akawatenga wakongwe wa siasa za chama chake😂. Alijua mbinu yake ya kununua wapinzani na kuvizima vyama pinzani na kuwaondoa wale wenye misimamo isiyoyumba itatengeneza wingu la hofu, kutokupingwa na kuendelea kula kuku kwa mrija, akiamua nini kifanyike nini kisifanyike. Asiyempenda amefufuka, mwiba umeshindwa kukatwa na sasa unachoma palepale😂😂😂😂
 
Jana nimeshangaa sana polepole anasema wagombea wa upinzani eti wamebebwa na tume, hivi polepole anashabikia tume kuengua wagombea kisa wamekosea kujaza nukta? Nimemshusha sana polepole Jana.kugombea no haki ya kikatiba, MTU aenguliwe kwa sababu za kikatiba na sio kuandika jina au anuani, hivo vinarekebishika. Ccm wamepoteza uhalali wa kuongoza
 
Unafahamu hata uwezo wa Lissu darasani? Unajua shule alizosoma zinasifa gani?

Waulize majaji na mahakimu juu ya uwezo wa huyu mtu,kisha uondoe hapa matakataka yako.

Kwangu mimi siyo intelligent man, hilo utaliona kila mahali kwanza hajui hata mtego ambao CCM wamemtega ameshaingia kingi mzima mzima na baada ya Oktoba 28 ndio atajua kwamba hajui kitu kama low level mwenzake Fatuma.
 
Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana

HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
 
Mkuu hizo ni ndoto tu JPM kama kawaid anashida tena kwa kishindo kaaa utulie uone
 
Jamani, mbona mtamua mzee was watu!!
 
Mimi nahisi kama atawahi kutu suprise sisi. Ataamka tarehe 30 na kuwaita TBC nyumbani Chattle na kumpa pongezi Lissu kwa ushindi. Si unajuwa inategemea atakavoamka siku hiyo!
 
Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana

HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Hata sisi wanajeshi alitukutana na maduka yetu ya free duty akayafuta yote Nchi nzima nakusababisha maisha yetu kuwamagumu tuna jambo letu 28
 
Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana

HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Duuh balaa, jaman ni hatar, unasema Sasa ni fizi maana meno hayapo, hapo na kuunga mkono ya kumfanyia surprise.Umepiga mlemle kabisa.
 
Watanzania tunaenda kuandika historia kuu mwaka huu itakayosomwa na vizazi na vizazi Tanzania na duniani kwa ujumla. Tunaenda kumstaafisha Jiwe siasa na Uraisi rasmi hapo October 28
 
Back
Top Bottom