Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Unapanda loli unapewa buku tano ya kura mjini
Huku ccm ilishajifia siku nyingi sana
IMG_20200927_130327.jpeg
 
Eti ""Mapokezi ya Lissu yamejaa raia wenye bashasha, shangwe na vifijo huku mapokezi ya Magufuli yakitawaliwa na ukimya na protokali za serikali. ''"
Sasa utamfananisha Jpm na huyo tundu wenu ! JPM bado ni Rais wa nchi ulitaka apokelewe kihuni kama huyo kibaraka wenu!
Ahahahaa nahisi kwa sasa mnayaoga sana
matusi ya mwenyekiti wenu, na mabanzi mnapata mkitoka huko mnakuja kujitutumua na kutukana
 
Hivi nguli Mangula hawasaidii hawa ma-layman wa siasa? Au wanampuuza?

#JPMOut28/10
 
Back
Top Bottom