Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
CCM wameishiwa uvumilivu huwezi kuzuia watu hiii ni kampeni na vyama VINASHINDANAEt 2020 hatupigi kampeni.
Labda kama walimanisha kutokupiga kampeni ya uzazi mpango sio kampeni za uchaguzi wa Rais.