Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Lissu kadhamilia KUTUVUSHA na Wa Tanzania wote bila kujali itikadi zetu TUME MWAMINIKwa mpenda haki yoyote ,hiyo no habari njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kadhamilia KUTUVUSHA na Wa Tanzania wote bila kujali itikadi zetu TUME MWAMINIKwa mpenda haki yoyote ,hiyo no habari njema
Mbona suala la Uhuru,haki na maendeleo ya kweli ni msamiati hats kwenye kamusi imeshindikana kuutafuta?Comrade chama chetu tuna vitengo makini vilivyojitosheleza kila sekta. Sijui utaongea kitu gani kiwe kigeni kwetu.
Labda cha magobore na hicho kimeshajitoa kamebaki ka kikundi...Comrade chama chetu tuna vitengo makini vilivyojitosheleza kila sekta. Sijui utaongea kitu gani kiwe kigeni kwetu.
Endelea tu kugonga kahawa sio mbaya kwa afya ya mwili na akili.Hapa na gonga Kahawa kijana sisi ndo Taifa kesho karibu sana hapa hapa KIMENUKA ..
Aamue kukubali tu ukweli,upande wake umepoteza.Ndo sababu mwenyekiti wa mboga mboga kampumzika
Watakuambia ni picha za 2015Ni wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
View attachment 1582809View attachment 1582809
Kwasababu Lissu anatamka ayo maneno basi unadhani ccm tunatakiwa kuyatamka pia. Sisi tuna sera zetu kijana hatuongozwi na porojo za Lissu.Mbona suala la Uhuru,haki na maendeleo ya kweli ni msamiati hats kwenye kamusi imeshindikana kuutafuta?
Hapo hata sijui unaongea kitu gani zaidi ya kuweweseka tu.Labda cha magobore na hicho kimeshajitoa kamebaki ka kikundi...
Naamini wewe ni mwelewa. Mbali na ubingwa wa kubandika nyomi una unaweza kuzieleza, kwa kina, Sera zilizomo kwenye Ilani?Ni wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
View attachment 1582809View attachment 1582809
Imani? Imani kwenye siasa za ushindani?Kwanini,mnashindana na ukweli,au maana ya haki huinua taifa bado kwa wengine ,haijaeleweka .Kama no hivyo tuuangalie msemo huu kwa maana ya kiimani Sasa.
Ukianza kuona bendera za chama chako zikipepea kwa LISSU usishangae ...muda haudanganyiEndelea tu kugonga kahawa sio mbaya kwa afya ya mwili na akili.
Naomba tujikite kwenye hoja achana na mambo ya kufikirika mkuu.Ukianza kuona bendera za chama chako zikipepea kwa LISSU usishangae ...muda haudanganyi
Kurudisha Mamlaka ya kutumia fedha za UMMA kwa WANANCHINaamini wewe ni mwelewa. Mbali na ubingwa wa kubandika nyomi una unaweza kuzieleza, kwa kina, Sera zilizomo kwenye Ilani?
Huamini tu Mkuu wenzako wameanza kuropoka kufuraa chombo kimezamaNaomba tujikite kwenye hoja achana na mambo ya kufikirika mkuu.
hah ha ha MKUUWatakuambia ni picha za 2015
Ccm bado tupo ngangari.Huamini tu Mkuu wenzako wameanza kuropoka kufuraa chombo kimezama
Ccm bado tupo ngangari.
Na NECCcm bado tupo ngangari.