Comrade chama chetu tuna vitengo makini vilivyojitosheleza kila sekta. Sijui utaongea kitu gani kiwe kigeni kwetu.
Mbona suala la Uhuru,haki na maendeleo ya kweli ni msamiati hats kwenye kamusi imeshindikana kuutafuta?
 
Mbona suala la Uhuru,haki na maendeleo ya kweli ni msamiati hats kwenye kamusi imeshindikana kuutafuta?
Kwasababu Lissu anatamka ayo maneno basi unadhani ccm tunatakiwa kuyatamka pia. Sisi tuna sera zetu kijana hatuongozwi na porojo za Lissu.
 
Kwanini,mnashindana na ukweli,au maana ya haki huinua taifa bado kwa wengine ,haijaeleweka .Kama no hivyo tuuangalie msemo huu kwa maana ya kiimani Sasa.
Imani? Imani kwenye siasa za ushindani?

Lisu ni kidagaa! Ataprove hilo oktoba 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…