Kama gentamycine ana akili timamu atakuelewa ila kama ana akili kama za polepole hawezi kukuelewa
 
Kigogo ni muongo sana, hakuna hata moja amewahi kusema la kweli

Na nadhani ndiye 'amemponza' huyu 'Mtani' wangu Tundu Lissu japo 'nikiri' pia kuwa kwa 75% ya Mambo ayasemayo 'Kigogo' huwa ni ya Kweli tu.
 
Kigogo ni kama speaker, anapewa taarifa nyingi za ukweli na nyingine nyingi za uongo.

Uko vyema kwa 100% juu ya hili na naanza 'Kuhisi' sasa kuwa huenda 'Sources' wake wameanza 'Kumdanganya' ili Lissu nae 'akosee' tu wamdake.
 
Umempa ushauri mzuri sana. Kumbe kuna mapandikizi tayari.

Nimedokezwa wapo Watu kama Wanne ( 4 ) hivi katika 'Campaign Team' yake ambao ndiyo sasa 'wanatekeleza' hizi 'Hujuma' Mkakati dhidi yake.
 

Nimemshauri 'Mtani' wangu Tundu Lissu na wala 'sijamlazimisha' akubaliane na 'Mawazo' yangu haya sasa Wewe 'Unateseka' na nini hivi? Swine!!!!
 
Kwa za ndani kabisa ambazo 'nimetonywa' ni kwamba alichokisema ni 'Uwongo' na 'Kilipangwa' tu 'Kimkakati' ili 'Kumdaka' na kauvagaa Mtego huo.
Hilo halina madhara kwa Lissu, tena yawezekana huu ni ushindi mkubwa kwa Lissu, nimekujibu hapo juu kuwa pin-point politics dont work in Tanzania. Lissu is a wonderful lawyer anajua kutega. Hata alipomwekea jiwe pingamizi kule NEC unaweza kufikiri ni ujinga kumbe ni tactic ya kisheria ilisaidia kusawazisha mambo mengi. Pia anapochokoza hata kwa jambo la uongo katika mazingira ya Lissu anakuwa na nafasi nzuri ya kushinda kwani watu wengi wanaguswa, Lissu anajua hilo na linamsaidia sana.
 

Sijawahi kuwa CHADEMA na kamwe sitokuja kuwa Kwao sawa? Kwani kuwa Mshabiki wa Liverpool Kumpenda Mchezaji wa Man United ni Dhambi?
 
Hata mimi nilishtuka kidogo niliposikia ile ya ma DED, inabidi ajitahidi kuwa na multiple sources ambao hawajuani ili aweze ku verify taarifa anazopokea.
Mtu mwwnye kichwa kizito Kama Lisu hawezi kufanya Hivyo
Hayo Mambo wanafanya watu smart
Sasa huyo mzee was kukurupuka ataweza wapi
 
Bananga ana urafiki mkubwa sana na alberto msando,mtu ambaye kigogo2014 kule twitter anamhusisha sana na utekwaji wa watu wakishirikiana na makonda.
TUNAWEZA KUPUUZIA HAYA MWISHO WA SIKU IKAWA KWELI. Nani alijua kama katambi ni afisa kipenyo?!

Hata mimi urafiki wa BANANGA na MSANDO huwa nautilia shaka sana, Ni kweli siasa si uadui lakini kwa mambo wayafanyao CCM kwa Chadema ni dhahiri kabisa hawana jema kwetu hata kidogo.


CHADEMA, tunawapenda sana sana sana, chukulieni hili kwa umakini wa hali ya juu sana.

Ahsante mleta post, maana wengine tukiandika moderator kazi yao kufuta.
 
Umenena vema,Tundu Lissu aongeze umakini,katika hili kwenye chama Mamluki huwa hawakosekani,pia asikubali kuongea Jukwaani taarifa ambazo anapewa kwa kustukiza ambazo hajazifanyia uchunguzi wa kujiridhisha Kama Ni kweli.
 
Kwa ushauri huu mzuri ni dhahili unamtakia mema na inamtaka shinde. ✌✌
 
You nailed it well.
 
Kama nakuelewa fulani hivi. Kinachopaswa kuzingatiwa kwenye kampeni siyo uzuri ama ubaya wa beti Bali uzuri wa kiitikio tu. Safi Sana.
 
Mbona Magufuli yake TISS wazalendo wamevujishia Lissu amekutana na wakurugenzi ikulu? Kila siku kigogo anavujishiwa siri na TISS wazalendo.

Lima papai wewee Acha kubwabwaja
We uliona wapi, we ulisikia wapi, we uliona wapi
 
Lissu hajaahidi "uno" hebu hariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…