Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Kwahiyo ulitaka mleta mada asemeje
 
Umenena mkuu, mi mwenyewe Niko kariakoo mpaka mda huu na ndiko nafanyia shughuli zangu, huku yanga wamepita juzi wote tulikusanyika barabarani Happ Msimbazi road kuona mbwembwe zao
Upo Kariakoo, mkuu?!! Mbona nimeshakushukuru kwamba upo Segerea unasaidia live update ya mkutano!!
 
Anatakiwa apite kila penye watu ili amwage neno lenye Tumaini katika maisha yajayo
 
Upo Kariakoo, mkuu?!! Mbona nimeshakushukuru kwamba upo Segerea unasaidia live update ya mkutano!!
Rudi kwenye uzu ukasome kilichoandikwa, pale nimeweka link chini kufatilia kwa yule atakaependa, ila nipo kariakoo mtaa Lindi na msimbazi.
 
Huu ni umati wa wananchi waliojitokeza leo kumlaki Mgombea Uraisi wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe.Tundu Lissu.

View attachment 1553315
Nilifikiri unatuletea picha za Segerea kumbe Kariakoo!! Segerea vipi au mnaendelea kutengeneza picha baadae mtuletee kwamba kulikuwa na nyomii ya kufa mtu?
 
Hivi uanjua ata Hashim Rungwe mikutano yake anafanyia maeneo Kama ya kariakoo, sokoni au stendi kwanini? Cos anajua atapata watu wengi ata wapita njia fresh tu atapata picha kuwa kajaza nyomi!

Picha ya chini kwenye mkutano wake leo hi huko SegereaView attachment 1553318
Stendi?[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Hahahaha
Vijana wa humu ndani hawana heshima
Huu mchezo hautaki hasira
IMG-20200828-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom