Miaka hii 30 niliyo nayo watoto wawili sina chakujutia mwaka huu afe kipa afe beki barabarani lazima niingie nawala sitanii.
 

 
Waambie ukweli, mimi nikisema naonekana msaliti! Ila nakushauri waambie ukweli wa sababu za kuhairishwa, kama mnafahamiana mpigie simu amani, yupo poa sana atakujibu!
Wakuu kama kawaida yetu leo tena tunawaletea yanayoendelea kwenye kampeni za Mh Tundu Lissu ambaye ndio Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni....
 
Kamanda lissu kamatia hapo hapo wananchi wanakuelewa sana hoja zako niza msingi umembana mbavu Mr hiyo hiyo usilegeze kamanda komaa wananchi ,wafanyakazi, wasomi, wafanyabiashara
 
Ndugu wana Jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini.

Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa CCM kwa kuwapigia Mbunge na Diwani lakini kwa Urais kashaamua.

Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
 
Mtembelee uone kama bado ana akili timamu. Unakaa mjini bibi akila matembele kila siku baadaye unapiga simu ukitegemea majibu ya mwenye akili timamu?
 
"Acha waisome nambaeeee .......mbele kwa mbele sijui takataka gani nahisi huo wimbo bibi unamgusa Sana.
 
Anazeeeka vizuri
 
Bibi yako huyu huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…