Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
kama ilivyo asili "Hakuna Mtu wa Kuizuia Reggae na ni kwa sababu moja tu nayo ni kua Reggae Ipo Imara. No Body Can Stop Reggae, Because Reggae is Strong.

Ndivyo Ilivyo kwa Mh Tundu Lissu hakuna wa Kumzuia na ni kwa sababu moja, Lissu yupo Imara kama Reggae.

They tried to kill Reggae many years ago hawakuweza, walijaribu Kumuua Lissu lakini pia hawakuweza.

Reggae itabaki kua Reggae na Lissu atabaki kua Lissu. Usijaribu Kuvizuia hivi vitu viwili Reggae na Mhe Lissu ni Haiwezekani vinginevyo wewe ndo Utaumia.

Msijaribu kumzuia Lissu Mtaumia.
 
Kadri siku za kufanyika uchaguzi mkuu zinavyokaribia ndivyo homa inavyozidi kupanda , huku Wapinzani wakionekana kuwa na nguvu zaidi baada ya kufanya kampeni za kisasa kutokea pembe 3 za nchi, mpaka sasa haielewi ni kipi kimetokea hadi kufikia 80% ya Watanzania kuikataa.

Mwl Nyerere aliwahi kusema kwamba CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI. Kwa maana kwamba kuhutubia mikutano na kuandamana mabarabarani ndio nguzo kuu za kuimarisha chama cha siasa.

 
Bado wanamawazo na mipango ya kuwaengua wagombea uchaguzi wa kiti cha Uraisi kutoka ACT na Chadema.kila nikipiga mahesabu naona hizi mbinu zipo ,tatizo bado kunasubiriwa wakati muwafaka ,na kama mnaona sasa kuna majaribu yanarushwa ila kinachowashangaza kuna komando mmoja hawamuoni kwenye majukwaa,wanasubiri vihabarishi kujua msimamo wa komando huyu na yupo wapi na watamtega kivipi maana hawamwoni popote zaidi ya kwenye twitter na kila wanapochokonoa na kubahatisha majibu ni sifuri.

Sasa wanajaribu kumuweka Lissu kwenye kona waone kama kuna kauli itatoka kuhusiana na komando alieko pembeni akiangalia Tundu anavyowapelekesha CCM,kama hawa makomando wawili wangekuwa uwanjani basi kila mmoja angetafutiwa mtego na kuenguliwa by red card ndani ya uwanja.Ukimya wa mmoja umewaweka CCM kamati ya mipango ya wizi sehemu ngumu sana.

Makomando msije mkaingia tamaa na kuona uwanja mweupe endeleeni na style hio hio ,adui bado yupo mawindoni.
 
Mbona mnaweweseka hamuamini mgombea wenu wa chadema ?

Mlisema tume haimpitishi ili mpate visingizio

Subirieni October 28 tuwatandike nyie mnatumia na Wazungu,

Kipigo cha October kitawafanya mjute kumsimamisha lissu kupeperusha bendera ya Chadema
 
Upinzani haujawahi kufa popote duniani,
Iwe siasa au dini,upinzani kufa itamaanisha watu wote kuwa na akili za kufanana kama maroboti.
Ndio maana hata unatuma hela kwenu unamficha mkeo maana ukimwambia atapinga.
 
Ten years consecutively from 2020-2030 our country should under strong leader the man of fortune Tundulissu .

As well I urging after Tundulissu elected , We can carrying out constitution amending to allow Tundulissu to rule our country forever like China .
 
Ten years consecutively from 2020-2030 our country should under strong leader the man of fortune Tundulissu .

As well I urging after Tundulissu elected , We can carrying out constitution amending to allow Tundulissu to rule our country forever as China .
Amen in Jesus Name for him to be our president from 2020-2025 then 2025-2030

But to amend the constitution for him to be a life president No. Someone else will take over in a democratic process!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ten years consecutively from 2020-2030 our country should under strong leader the man of fortune Tundulissu .

As well I urging after Tundulissu elected , We can carrying out constitution amending to allow Tundulissu to rule our country forever like China .
Kwa Katiba ipi ?

Akifanikiwa kuwa Rais, ndan ya miaka yake mitano ya mwanzo aki underperform atapigwa chini kama kawaida
 
Lissu ni Rais!! Anayemkataa LISSU ni mchawi.

Mchawi ni mtu yeyote anayefaidika na utawala huu wa kikoloni ndani ya nchi huru.

2020 its TUNDU ANTIPAS LISSU. ...

CCM ni lazima waondoke, kizazi cha DIGITAL haiwezi kutawakiwa na watu Analogue.
 
Maybe he should be the leader of your family.

But for this Big Nation we are grateful to have His Excellency JPM.

DON'T FORGET TO VOTE FOR JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Maybe he should be the leader of your family.

But for this Big Nation we are grateful to have His Excellency JPM.

DON'T FORGET TO VOTE FOR JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
JPM is one of the worst leaders in Africa, we'll get rid of him by any means possible.
 
JPM is one of the worst leaders in Africa, we'll get rid of him by any means possible.
Keep consoling yourself Bro...CCM will always be ahead of any political party in this country.

JPM is going to win this election on October 28, Keep your eyes open.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Keep consoling yourself Bro...CCM will always be ahead of any political party in this country.

JPM is going to win this election on October 28, Keep your eyes open.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Kiongozi hata kujieleza hawezi..!!
 
Back
Top Bottom