Upo Kariakoo, mkuu?!! Mbona nimeshakushukuru kwamba upo Segerea unasaidia live update ya mkutano!!
Moderator sio watu wazuri! Yani mi kuanzisha uzi na kuweka link ili watu wafatilie kinachoendelea huko Segerea wameona ningwa! Eti wamefuta uzi wangu aisee
 
Msije mkawa mnapost picha za siku ya mapokezi yake akitokea kwa mabeberu kwenye matibabu maana CHADEMA drama haziwaishii
Mabeberu ndio waume wa Afrika, ndio wanaoilisha Afrika, wao ni mabeberu huku Afrika hasa Tanzania ikiwa majike.
 
Nilifikiri unatuletea picha za Segerea kumbe Kariakoo!! Segerea vipi au mnaendelea kutengeneza picha baadae mtuletee kwamba kulikuwa na nyomii ya kufa mtu?
Nilianzisha uzi hapa na kuweka link ya live huko Segerea eti moderator wamefuta uzi wangu! Sijui nawao wanateseka!
 
Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Na hapohapo kwenye kumlaki shughuli zingine zinaendelea kimya kimya. Kariakoo kila tukio ni fursa😁😁😁
 
Moderator sio watu wazuri! Yani mi kuanzisha uzi na kuweka link ili watu wafatilie kinachoendelea huko Segerea wameona ningwa! Eti wamefuta uzi wangu aisee
Ndo ukarudi kibandani kwako Kariakoo?!
 
NiYeye2020 maccm yamenuna kumuona mtu wa watu kipenzi cha Watanzania na Chaguo la Mungu jinsi anavyozidi kupeta.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…