Tatizo ni kuamini uzushi wa wazushi akina Kigogo wa Twitter.
 
Mtafanyaje[emoji3][emoji3]
Hakuna wa kukiuka utatatibu wa Uchaguzi na Kipigo kipo pale pale
Taratibu haramu zitakiukwa tu kama ambavyo vyote haramu ikiwamo uchaguzi haramu. Hakuna kuvumilia haramu tena.

Habari ndiyo hiyo kawaambie wote.
 
akili za bia ...leo hii hata wewe unamshauri Rais Lissu jinsi gani aongeze kura ambazo tayari zimeshakua za kutosha kuchukua urais..
 
Lissu kuna hati hati akakinyima Chadema hata wabunge wawili, mshaurini atulize akili
akili za bia ...leo hii hata wewe unamshauri Rais Lissu jinsi gani aongeze kura ambazo tayari zimeshakua za kutosha kuchukua urais..
 
Umeshamaliza mitihani yako ya darasa la saba sasa umekuja kutusumbua huku?
 
Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Zee zima hovyo kabisa nyie mungu atawalaani munajifanya yenu ya kuteka na kutesa watu hayaoni subirini mtaona.
 
Wakurugenzi walikutana na JPM ikulu na video tunazo ,semeni nyoo mkaone ushahidi the Hague
 
The hague ya ufipa ?[emoji3][emoji3] Pompeo alishamruhuhusu mwendamashtaka wa hiyo mahakama kuingia usa?

Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Wakurugenzi walikutana na JPM ikulu na video tunazo ,semeni nyoo mkaone ushahidi the Hague
 
Uchaguzi huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
ccm mmekalia ncha ya mkuki, huko ndani tunasikia polepole atafutwa nafasi yake mana bwana pombe anasema mlimdanganya kua upinzani haupo kwamba ataserereka tu uchaguzi huu
watanzania wamechoka na unyanyasaji na kuwafanya wajinga
 
tulieni hivyo hivyo ..ccm imebaki ya watu wanne tu sasa...pombe, bashiru, polepole, na polisi.
Bora CCM ina hao, japo umesahau kuwa Majaliwa, Samia, Wasanii, UVCCM, UWT na Wazazi wanaendelea na kampeni.

Upande wa ufuasi wako yuko Lissu peke yake na mgombea mwenza ambao kila wanakopita wanavuruga nafasi ya chama kwenye Uchaguzi.
 
kwahio kura zitakua kumi tu za kwao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…