Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
No feeder roads unakimbilia flyover, hii akili ama matope?

Dar barabara ni zile zile miaka 60 ya uhuru alizoacha Mwalimu. Hakuna barabara za michepuko nyingi, wao wanakimbilia flyover, sasa mvua imekuja kuwakumbusha Watanzania, ccm haiwezi kuwasaidia kwa lolote, miaka 60 hawana cha maana walichokifanya.
 
Mnhhh eti la kurithi, kabisaaa??!!!. wewe tufanye umechaguliwa leo utaanza na nini? Fly over ama sewage system, nijibu ukweli wako..lol
😂 Sina hata nia ya kugombea na sidhani.. Kama ningekuwa na nia ningefatilia vizuri na kujua wapi pa kuanzia.. hata hizo sewage system ni jambo pia la kuangalia lkn si kila kitu chakumsukumizia rais..

kwani hilo jiji limekosa watu wa mipango miji..? Ndo jiji linaloingiza mapato lukuki toka enzi hizo,sio kusema tatizo ni laleo wala nini! Hizo fedha zinazoingia zinakwenda wapi kama hazitatui shida..!

Pia Kuna hii kasumba ya watu kutupa mataka hovyo inayoenda kuziba mitaro maji yakija yanakosa njia nalo la kutupata taka hovyo walaumiwe serikali..?

Kama unaona jamaa atakuja kutatua mchague ni ridhaa yako lkn weka hichi kitu kichwani "kila kiongozi atakuja na yake na hawezi kutatua kila kitu!"
 
Ni watu wachache wanaoweza kutoa hoja kwa mifano yenye nguvu.
Wewe kichwani huna kitu ulichoandika hapa ni kichekesho!
 
Hello JF

Poleni na mvua...

Katika swala lililomuacha peupe Raisi na serikali yake ya awamu ya tano ni hili la mvua...

Mimi sio engineer ila kulitakiwa kuwe na proper channels/sewage system na hayo maji yakawa directed properly....

Sasa inashangaza unaanza na ma fly over wakati huku chini hujaweka miundo mbinu mizuri, mbona haihitaji akili kuona hapana..flyover sio important kama sewage system!!!????

Mpigieni kura Lissu, he knows how to prioritize things (My guess, msinipopoe)

Becky
 
😂 Sina hata nia ya kugombea na sidhani.. Kama ningekuwa na nia ningefatilia vizuri na kujua wapi pa kuanzia.. hata hizo sewage system ni jambo pia la kuangalia lkn si kila kitu chakumsukumizia rais.. kwani hilo jiji limekosa watu wa mipango miji..? Ndo jiji linaloingiza mapato lukuki toka enzi hizo,sio kusema tatizo ni laleo wala nini! Hizo fedha zinazoingia zinakwenda wapi kama hazitatui shida..!

Pia Kuna hii kasumba ya watu kutupa mataka hovyo inayoenda kuziba mitaro maji yakija yanakosa njia nalo la kutupata taka hovyo walaumiwe serikali..?

Kama unaona jamaa atakuja kutatua mchague ni ridhaa yako lkn weka hichi kitu kichwani "kila kiongozi atakuja na yake na hawezi kutatua kila kitu!"

Mnhhhhhh wewe miaka yote unajua kuna matatizo mvua ikinyesha,halafu unapewa uongozi unaanza na kunajenga fly overs?!?..ni kudharau wananchi au sifa tu???.. mbona ameweza kuijenga Chato, ameshindwa nini kuweka miundo mbinu sawa Dareslaam....???

Hapa tunaongelea sewage system hilo ni swala la serikali 100%

kutupa takataka hovyo pia ni la serikali, kama ime ignore sewage system, itaweza vipi ku mobilize watu wasitupe taka...??? kuna dharau flani hivi kutoka kwa serikali!

I'm glad unajua kuwa kila kiongozi atakuja na yake, sisi tumeshaona ya MAGUFULI na flyovers zake, its TIME for Lissu.
 
Ni watu wachache wanaoweza kutoa hoja kwa mifano yenye nguvu.
Wewe kichwani huna kitu ulichoandika hapa ni kichekesho!

Nikipekua topics zako nitakuta kweli hoja yenye 'nguvu' ??
 
Mnhhhhhh wewe miaka yote unajua kuna matatizo mvua ikinyesha,halafu unapewa uongozi unaanza na kunajenga fly overs?!?..ni kudharau wananchi au sifa tu???.. mbona ameweza kuijenga Chato, ameshindwa nini kuweka miundo mbinu sawa Dareslaam....???

Hapa tunaongelea sewage system hilo ni swala la serikali 100%

kutupa takataka hovyo pia ni la serikali, kama ime ignore sewage system, itaweza vipi ku mobilize watu wasitupe taka...??? kuna dharau flani hivi kutoka kwa serikali!

I'm glad unajua kuwa kila kiongozi atakuja na yake, sisi tumeshaona ya MAGUFULI na flyovers zake, its TIME for Lissu.
 
Hello JF

Poleni na mvua...

Katika swala lililomuacha peupe Raisi na serikali yake ya awamu ya tano ni hili la mvua...

Mimi sio engineer ila kulitakiwa kuwe na proper channels/sewage system na hayo maji yakawa directed properly....

Sasa inashangaza unaanza na ma fly over wakati huku chini hujaweka miundo mbinu mizuri, mbona haihitaji akili kuona hapana..flyover sio important kama sewage system!!!????

Mpigieni kura Lissu, he knows how to prioritize things (My guess, msinipopoe)

Becky
Well said Rebeca 83 a.k.a Beckie
 
Nilikuwaga naogopa sana hiyo avatar yako lakini leo naiona nzuri kama ya malaika baada ya kupromote tukampigie Lissu kura[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Back
Top Bottom