Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kati ya siku zote ambazo nimekuwa nafuatilia safari za kampeni za mgombea wa urais kupitia chadema ni jana nilipomuona akizungumza wakati wa kuamuru vijana wake wazuie barabara (road block) kwa magari.

Mara nyingi siraha zinazoonekana ni bunduki ila hii bado sijaelewa ni siraha aina gani kwa ulinzi wa mtu muhimu kama huyu.

Wataalamu wa siraha mtupe ujuzi na utaalamu wenu hapa.

IMG_20201014_103420.jpg
 
Akiwa anatokea mkoa wa Mara, atazungumza na wananchi wa Kijiji Cha Lamadi.
Hiki Kijiji ndicho kilichokuwa chini ya Diwani Bija kabla hajaunga jitihada,alikuwa Diwani wa Chadema.

Nimwambie tu Tundu Lisu, bado Kuna wagombea wa Chadema tunasikia waziwazi wakisema, wanatamani washinde udiwani na ubunge tu harafu watarudi ccm.

Bado wanaamini Lisu atashinda lakini hawezi kupewa nchi na wao tayari wameonyesha kumpinga Magufuri waziwazi, hivyo ili kulinda biashara na mambo yao wanatarajia wakishinda wanarudi tena ccm

cc: Tundu Lissu
 
Mimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.

Ila jamaa anapendwa na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. Mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni vijana tu wa Dar wamepandwa mzuka.

Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti. Ila kuna mambo mengine yanafanyika yanachekesha. Mfano, kukimbiza kivuko ili wasimbebe Lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.

Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka. Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
 
Mimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi, na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.
Ila jamaa anapendwa, na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni viajan tu wa Dar wamepandwa mzuka.

Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti.
Ila kuna mammbo mengine yanafanyika yanachekesha, mfano kukimbiza kivuko ili wasimbebe lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.

Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka.
Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
Anapendwa sababu ni binadamu ila kura zetu hapati. Kura zetu kwa Magufuli tu.
 
Kama kura inapigwa na wananchi atashinda kaulize KANU Kenya ilikuwaje

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi, na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.
Ila jamaa anapendwa, na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni viajan tu wa Dar wamepandwa mzuka.

Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti.
Ila kuna mammbo mengine yanafanyika yanachekesha, mfano kukimbiza kivuko ili wasimbebe lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.

Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka.
Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
Sahihi kabisa
 
Wewe uliuliza swali gani gumu linalokuwasha hadi saivi.

Hadi kushindwa kukubali maelekezo yaliyotolewa kua hayo maswali elfu atayapitia kwanza yote kisha ataleta majibu.
Tuliambiwa atakuwa hapa JF saa mbili hadi saa nne asubuhi. Hayo ya kupitia maswali elfu unayajua wewe peke yako.
 
Back
Top Bottom