Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Magufuli kashashinda urais. Kwa sasa anakula bata tu MagogoniWe mataga si ufatilie mambo ya magufuli?? Haya ya Lissu hayakuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli kashashinda urais. Kwa sasa anakula bata tu MagogoniWe mataga si ufatilie mambo ya magufuli?? Haya ya Lissu hayakuhusu.
JF ni hatari.Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Waulize waliosema sasaTuliambiwa atakuwa hapa JF saa mbili hadi saa nne asubuhi. Hayo ya kupitia maswali elfu unayajua wewe peke yako.
Kwako wewe Rais awe na sifa gani? Kama za Mwinyi, Kikwete na Magufuli? Siyo?Tukubaliane kutokubaliana, ndiyo demokrasia yenyewe na huo ni mtazamo wangu.
Mkuu bado nasimama na msimamo wangu ule ule. Tukubaliane kutokubaliana.Kwako wewe Rais awe na sifa gani? Kama za Mwinyi, Kikwete na Magufuli? Siyo?
Wana tofauti gani na Lisu? Lisu ameku-inspire wewe ukampenda huyo siyo leader kweli.
Au huyo anayejenga Bloody Flyovers, Bloody Dams etc etc Like Bloody Diamonds? Maendeleo ya damu!!
Mwanaharakati maana yake nini? Na Rais nini au ume kariri?Mkuu bado nasimama na msimamo wangu ule ule. Tukubaliane kutokubaliana.
Kwangu mimi inaonekana kama Harpoon yaani ukikupiga inakuvuta.Wataalamu wa siraha mtupe ujuzi na utaalamu wenu hapa.
Mkuu, siko hapa kufundishana wala kupingana na mawazo yako. Nakubaliana na mtazamo wako na mimi nina mtazamo wangu. Ndiyo demokrasia ya kukubali kukutokubaliana.Mwanaharakati maana yake nini? Na Rais nini au ume kariri?
Kasema anataka wanawake weupe wewe mweusi hakutaki😂😂😂😂😂Magufuli oyeeeeeeeeeeeee
Huyo mlinzi ukimchezea. Utabakiza kiuno chinKati ya siku zote ambazo nimekuwa nafuatilia safari za kampeni za mgombea wa urais kupitia chadema ni jana nilipomuona akizungumza wakati wa kuamuru vijana wake wazuie barabara (road block) kwa magari.
Mara nyingi siraha zinazoonekana ni bunduki ila hii bado sijaelewa ni siraha aina gani kwa ulinzi wa mtu muhimu kama huyu.
Wataalamu wa siraha mtupe ujuzi na utaalamu wenu hapa.
View attachment 1599636
Invalid threadView attachment 1556347
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM.
Viongozi wakuu wa chama hicho watashiriki uzinduzi huo wa kampeni wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe Katibu Mkuu John Mnyika na Wajumbe wote wa Kamati Kuu.
Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinasema siku ya kwanza ya Uzinduzi itakuwa Ijumaa tarehe 28/8/20 katika viwanja vya Mbagala Zakiem; Siku ya Pili ya Uzinduzi itakuwa Jumamosi tarehe 29/8/20 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na siku ya Tatu ya Uzinduzi itakuwa Jumapili tarehe 30/8/20 katika viwanja vya Tabata Segerea.
Tayari viongozi wa Kanda ya Pwani pamoja na mikoa ya kichama ya Ilala, Kinondoni na Temeke umeshaanza maandalizi makubwa ambapo inatarajiwa mikutano hiyo kuwa na umati mkubwa wa watu huku ikiongozwa kwa maandamano makubwa kabla na baada ya mikutano.
Itakuwa ni Mara ya kwanza kwa chama Cha siasa kuzindua kampeni kwa siku 3 mfululizo katika Jiji la Dar.
-----------------------------------------
Chadema kuzindua kampeni Kikanda
Baada ya mikutano mitatu ya uzinduzi katika Jiji la Dar es Salaam (Kanda ya Pwani), na Kanda ya Kaskazini (Arusha, Manyara, Tanga na Kilimanjaro), Kanda ya Viktoria (Mwanza, Geita na Kagera), Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga na Simiyu), Kanda ya Magharibi (Tabora, Katavi na Kigoma), ratiba ya mikutano ya uzinduzi, ikiwemo siku ya leo Ijumaa, itaendelea kama ifuatavyo;
vii. Septemba 4, 2020, Uwanja wa Uhuru, jijini Dodoma, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
viii. Septemba 5, 2020, Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
ix. Septemba 6, 2020, Uwanja wa Sabasaba, mjini Mtwara, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
x. Septemba 7, 2020, Uwanja wa Gombani, Chakechake, Pemba, kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 6.00 mchana. Uwanja wa Maisara, Unguja, kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 12.00 jioni.
Tunatanguliza shukrani zetu, tukikuahidi ushirikiano na kutarajia hivyo kutoka kwako na chombo chako pia kwa ujumla katika kuimarisha demokrasia nchini kwetu ikiwa nguzo muhimu ya maendeleo ya Watanzania wote.
Kupitia taarifa hii, chombo chako kinakaribishwa na kualikwa rasmi kwenye Mkutano wa Uzinduzi a Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, utakaofanyika Uwanja wa Uhuru Shule ya Msingi, jijini Dodoma.
Pamoja na salaam za Chama.
Wako katika ujenzi wa Taifa letu.
Tumaini Makene.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano.
Acha drama chief tupe hoja za maendeleo.Tunataka Rais ambaye hata akipigwa risasi hafi.
Anapendwa na vilaza wa ufipa
Mkuu KANYWE SUMU UFE, NA MAGONJWA MTAMBUKA MNYWE SUMU MUFFEEE!!Anapendwa na vilaza wa ufipa
Bora hata alivyokimbia maana maswali yangekuwa magumu kwake kuyajibu, hii nchi ni mali ya Watanzania hakuna siku tutakubali kuiuza kwa wasioitakia mema.Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu