Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..
Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.
Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.
Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..
Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu
Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia
Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..
Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT