Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Liwake jua inyeshe mvua.. Tushafanya maamuzi. Kura kwa Lissu.
 
Ulikuwa kichwani kwangu. Na zaidi, awepo mtu mwingine wa kuongelea risasi 16. Wananchi wanataka kusikia Sera za chadema. Yeye alijifananisha na Mandela. Ni wapi Mandela anaongelea mateso yake?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...
Kweli naunga mkono. Pia kama inawezekana wagawanyike. Mgombea mwenza Salumu Mwalimu akienda kaskazini Lisu kusini kulia. Wasiambatane kama kumbikumbi.
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Umetoa wazo la msingi sana, naliunga mkono 100%. Kwa kuwa Lissu ni mzungumzaji wa mwisho ni vema akajikita kwenye sera ili watu wanapoondoka waende na kitu cha kutafakari.
 
Hata wakae Kila kijiji
Hawata pata hata 20%
Acha kujichetua. Muulize mwenyekiti ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama chako kwamba kwann ana hofu mpk anateka na kuwaengua wagombea wa CHADEMA? Akikupa jibu njoo tuendelee na mjadala hapa.
 
Zikipita dak5 Lissu hajataja jina la Magufuli kwenye Kampeni zake lazima augue haraka Sana na kunaweza sababisha akaishiwa hata damu.

Kwahiyo mkuu ushauri wako Ni mzuri sana lakini siyo kwa mtu Kama lissu utamuua mapema ukitaka afuate ushauri wako, Acha aendelee kubwabwaja tu hivyo hivyo.
Huwezi kufanya ibada bila kumtaja shetani - Wassira
 
Kweli naunga mkono. Pia kama inawezekana wagawanyike. Mgombea mwenza Salumu Mwalimu akienda kaskazini Lisu kusini kulia. Wasiambatane kama kumbikumbi.
Huyu Salumu kwa nini asiende Zanzibar kuomba kura za wabunge, wawakilishi, na madiwani? DJ punguzeni Konyagi mpate akili.
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Mkuu, hizi nondo inapasa CDM wazichukulie kwa uzito wake wote. TAL inapasa ajielekeze kwenye ilani tu, Mbowe na makamanda wengine wayaorodheshe madhaifu ya watawala wa sasa ktk mikutano ya kampeni.

Dozi aliyokwisha kuitoa TAL inatosha, pengine itokee tu haja ya kupigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM. RIP CCM.
 
Bila Shaka Tundu Lissu ameshashinda Urais hapo October..

Ila Kuna mambo anatakiwa kufanya ili kushinda kwa kishindo zaidi.

Chadema waandae mtu tofauti ya kuongelea udhaifu wa Magufuli...

Pia Chadema waandae mtu mwingine wa kuongelea Madhaifu ya CCM kama chama.

Pia waandae mtu mwingine wa kuongelea mapungufu ya ilani ya CCM na sera zilizofeli kutekelezwa.

Lissu yeye awe anaongelea tu mambo atakayoyafanya akiwa Rais basi..

Hi itasababisha hata watu wa CCM kumpigia kura Tundu Lissu

Lissu atapata kula nyingi na kusababisha hata zile michezo zao waweze kushindwa kuchezea uchaguzi na kukimbia

Ushindi uko mezani Sasa chadema chukueni ushauri huu..

Hongera Lissu Rais wa 6 wa JMT
Hiyo nzuri. Pia ifunguliwe Uzi wa watumishi watoe madhira halisi waliyopata katika kila sekta. Yatachujwa na kusemwa yenye kuwasaidia.
 
Uchaguzi huru na wa haki mnahofia, kura kuhesabiwa hadharani mnahofia bali mnataka ushindi HARAMU na hivyo kuisimika madarakani Serikali haramu.

MKUU uko sahihi kabisa. Lissu atapata KULA nyingi sana. ila Mzee Magu ataondoka na KURA kama zoote za kutosha. Safari hii mtajamba sanaaa
 
Wacha kupiga mayowe!
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja anatuambia hali za maisha ya watu zimeimarika.
 
Baada ya magufuli kuanika vipaumbele vyake vya kujenga miundo mbinu ya mabara bara, meli na kununua mandege huku suala la ajira kwa vijana akilipa kisogo nilitegemea Lissu atakuwa mkombozi, kumbe na yeye ni wale wale?

Tangu lissu ameanza kampeni hakuna siku hata moja amezungumzia ajira kwa vijana.

Anasema mfumo wa elimu unaotumika hauwaandai vijana kikamilifu kwenye soko la ajira na kujiajiri na hivyo amehaidi kuufumua na kuunda mfumo mpya utakao wawezesha vijana kupata maarifa na ujuzi wa kazi kisha kujiajiri wenyewe.

Sipingi sera yake ya kufumua mfumo wa elimu lakini tayari kuna vijana wameandaliwa kwa mfumo unaotumika sasa wa kukariri vitabu na kufaulu mitihani. Je hawa vijana anawaachaje? Je na yeye atawaacha wapambane na hali zao kama walivyotoswa mtaani tangu 2015? ama watalazimika kurudi darasani kuandaliwa upya?
 
vyombo vya habari vinaogopa kurusha habari za upinzani live hasa za Chadema, kutokana na kupigwa faini mara kwa mara na TCRA na nyingine kufungiwa. Chadema walitakiwa kujiongeza na kufanya coverage kupitia mitandao yao ya kijamii lakini hawa jamaa wamekuwa wazembe mno
wanarusha tu viclip na vipicha vya tundu Lissu akiwa na umati wa watu
Rusheni video ndefu kwa wakati watanzania waone mna lipi

Mgombea wa CCM akifanya kampeni anarushwa na kila TV na kila mtandao, nyie hamrushwi na TV yoyote wala mtandao na mnashindwa hata kujirusha kupitia mitandao yenu, halafu bado mnategemea mtashinda?
 
Back
Top Bottom