Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.
Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.
Maendeleo hayana vyama!
UmeeeemuerewaaaMwambie Mzee Pombe ajibu kwanza maswali ya home work aliyopewa jana.
Yuko na wabeba maono wenzake, sasa ni muda wakuhesabu sadaka za kikumi na shukrani walizotoza baada ya kushudia matendo ya yesu mtenda miujizaàa.Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.
Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.
Maendeleo hayana vyama!
RefuelingLeo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.
Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.
Maendeleo hayana vyama!
Maalim Seif alikuwa makamu wa kwanza wa Rais.Muulize shein kwanini aliizinisha matibabu ya maalim seif wakati alinyimwa mkono au shein pale Zanzibar ni diwani?
Bwashee, mbunge wa jimboni tu, hana staiki zake? Matibabu kwa mbunge siyo takwa la kisheria?Maalim Seif alikuwa makamu wa kwanza wa Rais.
Tundu Lisu ni nani zaidi ya kuwa mbunge wa jimbo?!
CHADEMA wanasikitisha sana, mara wafoji picha na videoBaada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!..
Anayesimamia mambo ya wabunge ni Spika tofauti na Daudi mchambuzi anavyoamini kuwa ni Rais wa JMT!Bwashee, mbunge wa jimboni tu, hana staiki zake? Matibabu kwa mbunge siyo takwa la kisheria?
Kujaza watu wengi kwenye mikutano ya kampeni na upigaji kura ni vitu viwili tofauti kaka. Kumbuka watanzania wengi kwa sasa wamepigika hivyo hawana hamu ya kwenda hata kwenye hiyo mikutano ya kisiasa wakatii hawana uhakika na mlo wa siku. Mgombea wao wanaye miyoni mwao wanajua nani wa kumpa kura. Wanachokifanya Chadema ni kawaida kwa chama chochote cha siasa kwao watu wengi ndio ulevi wao (ndio maana chama fulani kinasomba watu na magari kuja mikutanoni) ni sawa sawa na mlevi kwenda baa asikute mziki tena wa kelele hata kama ana hela zake atahama aende baa nyingine japo angeweza kununua pombe akanywea nyumbani kwake.Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!!
Yaani hata kama barabara iko straight lazima msafara upinde kona upite maeneo yenye watu wengi wauza mboga,sokoni,vijiwe vya bodaboda,wasukuma mikokteni walau ajisikie vizuri kuwa anapungiwa mikono
Chadema kwao kujaza watu viwanjani bado ni changamoto
Haahaa ukweli unafahamika.lissu anajiuza mwenyewe sio kama jpmCHADEMA wanasikitisha sana, mara wafoji picha na video
Asubiri 28/10/2020 tumnyooshe kweli kweli!!Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!!
Yaani hata kama barabara iko straight lazima msafara upinde kona upite maeneo yenye watu wengi wauza mboga,sokoni,vijiwe vya bodaboda,wasukuma mikokteni walau ajisikie vizuri kuwa anapungiwa mikono
Chadema kwao kujaza watu viwanjani bado ni changamoto
Wametumia pct za 2015 siyo lisu uyoHaahaa zote hizo ni mbinu za kampeni. Leo nimeshuhudia msafara was lissu ukiingia shinyanga hatari.duh lissu anapendwa duh.Nimefurahi mapolis wamejipanga vizuri kwa ulinzi.Nimpongeze Igp.Siasa awaachie wanasiasa wakabane majukwaani
Yaani Lissu kumbe anajiuza?? Nilikuwa sijui kumbe Ubelgiji wamemfunza kujiuza mwenyewe??Haahaa ukweli unafahamika.lissu anajiuza mwenyewe sio kama jpm
Mnufaika,Mtoa mada ni mwanachama wa CCM asiyejitambua