Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie Mzee Pombe ajibu kwanza maswali ya home work aliyopewa jana.
Umeeeemuerewaaa
 
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!
Yuko na wabeba maono wenzake, sasa ni muda wakuhesabu sadaka za kikumi na shukrani walizotoza baada ya kushudia matendo ya yesu mtenda miujizaàa.
Haaaaa haaaaaa, hizi kiki bwaanaaa.
 
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!
Refueling

Lisu haendi bila kubadili betri
 
Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!!

Yaani hata kama barabara iko straight lazima msafara upinde kona upite maeneo yenye watu wengi wauza mboga,sokoni,vijiwe vya bodaboda,wasukuma mikokteni walau ajisikie vizuri kuwa anapungiwa mikono

Chadema kwao kujaza watu viwanjani bado ni changamoto
 
Leo ngoma imebuma, shinyanga wanajitambua na kutambua kazi nzuri iliyofanywa na Mtetezi wa Rasilimali za Taifa JPM.
 
Wewe mbona ukinya nzi hawajai chooni kwako unafeli wapi?
 
Haahaa zote hizo ni mbinu za kampeni. Leo nimeshuhudia msafara was lissu ukiingia shinyanga hatari.duh lissu anapendwa duh.Nimefurahi mapolis wamejipanga vizuri kwa ulinzi.Nimpongeze Igp.Siasa awaachie wanasiasa wakabane majukwaani
 
Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!..
CHADEMA wanasikitisha sana, mara wafoji picha na video
 
Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!!

Yaani hata kama barabara iko straight lazima msafara upinde kona upite maeneo yenye watu wengi wauza mboga,sokoni,vijiwe vya bodaboda,wasukuma mikokteni walau ajisikie vizuri kuwa anapungiwa mikono

Chadema kwao kujaza watu viwanjani bado ni changamoto
Kujaza watu wengi kwenye mikutano ya kampeni na upigaji kura ni vitu viwili tofauti kaka. Kumbuka watanzania wengi kwa sasa wamepigika hivyo hawana hamu ya kwenda hata kwenye hiyo mikutano ya kisiasa wakatii hawana uhakika na mlo wa siku. Mgombea wao wanaye miyoni mwao wanajua nani wa kumpa kura. Wanachokifanya Chadema ni kawaida kwa chama chochote cha siasa kwao watu wengi ndio ulevi wao (ndio maana chama fulani kinasomba watu na magari kuja mikutanoni) ni sawa sawa na mlevi kwenda baa asikute mziki tena wa kelele hata kama ana hela zake atahama aende baa nyingine japo angeweza kununua pombe akanywea nyumbani kwake.
 
Baada ya CHADEMA kuona kwenye viwanja hamna nyomi waanza kuzungusha misafara ya Lisu masokoni,kwenye vijiwe vya bodaboda mitaa ya machinga ili awapungie mikono picha walau zionyeshe kuwa apokelewa na maelfu kumbe anayafuata yaliko kabla kufika viwanja anakohutubia!! yaani analazimisha kupokelewa kwa kuwafuata watu huko huko waliko wampokee!!!

Yaani hata kama barabara iko straight lazima msafara upinde kona upite maeneo yenye watu wengi wauza mboga,sokoni,vijiwe vya bodaboda,wasukuma mikokteni walau ajisikie vizuri kuwa anapungiwa mikono

Chadema kwao kujaza watu viwanjani bado ni changamoto
Asubiri 28/10/2020 tumnyooshe kweli kweli!!
 
Haahaa zote hizo ni mbinu za kampeni. Leo nimeshuhudia msafara was lissu ukiingia shinyanga hatari.duh lissu anapendwa duh.Nimefurahi mapolis wamejipanga vizuri kwa ulinzi.Nimpongeze Igp.Siasa awaachie wanasiasa wakabane majukwaani
Wametumia pct za 2015 siyo lisu uyo
 
Back
Top Bottom